Kwanini wanaume hamuwezi kukaa chini na mke wako mka settle down?

Kwanini wanaume hamuwezi kukaa chini na mke wako mka settle down?

Pole saana mleta Uzi.

Bahati mbaya Watu wanajadili Picha badala ya tatizo.

Ww uliyekimbiwa na Mme kaa chini na utulie mlilie Mungu atakuonesha njia.

Na huyo Mwanamme IPO Sikh atakutafuta kwa style nyingine.

Pole sanaaaa. Ila jipe Moyo. Na Mungu ni Mwema
 
Hakuna mimba ya bahati mbaya labda kama umebakwa..

Mtu amekutongoza ukakubali mkaenda lodge ukavua mkagegedana PEKU hlf unasema bahati mbaya..

Anyway tuachane na hiyo kuachana mke na mume kisa mimba ya mtoto wao hiyo imekuwa ni current causative lakn ndoa kama hiyo lazima kuanzia awali haikuwa salama.

Watu waliokuwa wanaishi kwa upendo hawana migongano kamwe hawawezi kuvunja ndoa kisa hilo.

Labda mmoja alikuwa anakemea mienendo ya ninti mwingine anamkingia kifua.

Fatilia familia hiyo toka awali lazima kulikuwa na migogoro.
Kwa upande mwingine you must be right my friend
 
Nakushanga unapouliza kwa wanaume hawezi kukaa chini na wake zao kusettle hivi huyo mwanamke ni gunia la mahindi kiasi kwamba utabeba nakupeleka unakotaka?
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] ndo manaa naipenda Sana jf maana kila MTU na mawazo yake
 
Jamanii niulize jambo hivi dunia hii kama mtoto wako wa kike wa kwanza amepata mimba unfortunately...sasa baba na mama wakatengana kwa hilo jambo sasa ni miaka minne tangu hilo jambo...swali linakuja hivii kwanini wanaume hamuwezi kukaa chini na mke wako mka settle down na mpange familia kuliko kutibuana majumbani[emoji31][emoji31][emoji31][emoji31][emoji31]View attachment 914984
kama wakwako hawezii wa wengine tumeweza na ndio maana hadi leo tupo
 
Pole saana mleta Uzi.

Bahati mbaya Watu wanajadili Picha badala ya tatizo.

Ww uliyekimbiwa na Mme kaa chini na utulie mlilie Mungu atakuonesha njia.

Na huyo Mwanamme IPO Sikh atakutafuta kwa style nyingine.

Pole sanaaaa. Ila jipe Moyo. Na Mungu ni Mwema
Thank you.....afadhali hata wewe Ila nashukuru kwa uwezo wako wa kufikiri japo kidogooo....Mimi ni mwanae na mama yangu ndie alieachwa na aliyepata mimba ni Dada yanguu....[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 
Hakuna mimba ya bahati mbaya labda kama umebakwa..

Mtu amekutongoza ukakubali mkaenda lodge ukavua mkagegedana PEKU hlf unasema bahati mbaya..

Anyway tuachane na hiyo kuachana mke na mume kisa mimba ya mtoto wao hiyo imekuwa ni current causative lakn ndoa kama hiyo lazima kuanzia awali haikuwa salama.

Watu waliokuwa wanaishi kwa upendo hawana migongano kamwe hawawezi kuvunja ndoa kisa hilo.

Labda mmoja alikuwa anakemea mienendo ya ninti mwingine anamkingia kifua.

Fatilia familia hiyo toka awali lazima kulikuwa na migogoro.
Sikusema mimba ya bahati mbaya but I said kwa bahati mbaya.... I guess hata yeye hakuhitaji kupata mimba.....
 
Ndoa zimekua changamoto sana am single n happy alhamdulih na umri huu sitaki strees hata kidogo.
Inshallah mwenyezi mungu anisimaie kwa hili
 
Back
Top Bottom