Kwanini wanaume hamuwezi kukaa chini na mke wako mka settle down?

Jamanii niulize jambo hivi dunia hii kama mtoto wako wa kike wa kwanza amepata mimba unfortunately...sasa baba na mama wakatengana kwa hilo jambo sasa ni miaka minne tangu hilo jambo...swali linakuja hivii kwanini wanaume hamuwezi kukaa chini na mke wako mka settle down na mpange familia kuliko kutibuana majumbani[emoji31][emoji31][emoji31][emoji31][emoji31]View attachment 914984
Umeuliza swali hili kwa wanaume, lakini pia ungeliliuza kwa wanawake pia !!!. Mimi ni muathirika wa mahusiano ya aina hii, lakini kwa kinyume chake. Nimetelekezwa na mabinti za watatu just kwa mwanamke kuendekeza mahusiano mengine nje. Kwa hiyo jibu la swali lako liangalie kwa pande mbili za mahusiano haya. Unakaa kujadili matatizo na mtu anaeelekea kwenye kutafuta muafaka c yule anayendeleza mtafaruku.

Mimi naamini ktk biblia.
Mwanamke mwerevu hujenga nyumba yake mwenyewe, bali yule mpumbavu huibomoa kwa mikono yake mwenyewe.
 
Waooo.....i like your thinking's lakini sorry kwa kukutwa na jambo hilo ipo siku watarudiii tyuu...just relax
 
Umeuliza swali hili kwa wanaume, lakini pia ungeliliuza kwa wanawake pia !!!. Mimi ni muathirika wa mahusiano ya aina hii, lakini kwa kinyume chake. Nimetelekezwa na mabinti za watatu just kwa mwanamke kuendekeza mahusiano mengine nje. Kwa hiyo jibu la swali lako liangalie kwa pande mbili za mahusiano haya. Unakaa kujadili matatizo na mtu anaeelekea kwenye kutafuta muafaka c yule anayendeleza mtafaruku.

Mimi naamini ktk biblia.
Mwanamke mwerevu hujenga nyumba yake mwenyewe, bali yule mpumbavu huibomoa kwa mikono yake mwenyewe.
Upo mkoa ganii
 
Jamanii niulize jambo hivi dunia hii kama mtoto wako wa kike wa kwanza amepata mimba unfortunately...sasa baba na mama wakatengana kwa hilo jambo sasa ni miaka minne tangu hilo jambo...swali linakuja hivii kwanini wanaume hamuwezi kukaa chini na mke wako mka settle down na mpange familia kuliko kutibuana majumbani[emoji31][emoji31][emoji31][emoji31][emoji31]View attachment 914984
Hakuna mimba ya bahati mbaya labda kama umebakwa..

Mtu amekutongoza ukakubali mkaenda lodge ukavua mkagegedana PEKU hlf unasema bahati mbaya..

Anyway tuachane na hiyo kuachana mke na mume kisa mimba ya mtoto wao hiyo imekuwa ni current causative lakn ndoa kama hiyo lazima kuanzia awali haikuwa salama.

Watu waliokuwa wanaishi kwa upendo hawana migongano kamwe hawawezi kuvunja ndoa kisa hilo.

Labda mmoja alikuwa anakemea mienendo ya ninti mwingine anamkingia kifua.

Fatilia familia hiyo toka awali lazima kulikuwa na migogoro.
 
Nakushanga unapouliza kwa wanaume hawezi kukaa chini na wake zao kusettle hivi huyo mwanamke ni gunia la mahindi kiasi kwamba utabeba nakupeleka unakotaka?
 
Back
Top Bottom