Kwanini wanaolalamikia Mapingamizi ni CHADEMA tu na si UKAWA?

Kwanini wanaolalamikia Mapingamizi ni CHADEMA tu na si UKAWA?

Mkuu inaonyesha hujaelewa UKAWA inavyofanya kazi katika kuiondoa CCM madarakani pamoja na Panya ndani ya Godown la mahindi.

UKAWA syo chama cha Siasa isipokuwa ni muungano wa badhi ya vyama Upinzani. UKAWA haijasajiliwa lakini wenyewe wana makubaliano waliyowekeana katika chaguzi mabali mbali za sasa na mwakani katika kuhakikisha panya wanakufa wote au wanakimbia tok kaika Godown letu la mahindi.

Kama sehemu kuna mgombea wa CHADEMA hapo watakaoweka pingamizi ni CHADEMA na hivyo hivyo endapo kama kuna mgombea wa CUF, NCCR etc.

Kwani haiwezekani leo mgombea ni CUF kisha asimame Dr. Slaa na kuweka pingamizi na ikiwa pale hakuna mgombea wa CHADEMA.

Kwa maana hii, jinsi wanavyofanya ni sawa kwani wanafanya kisomi zaidi.


MSIWE NA PAPARa PANYA WOTE WATAKIMBIa HADI KUFIKIA UCHAGUZI MKUU 2015.


MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
Wewe una akili matope kweli. Tuambie sasa CUF, NCCR a NLD wamesimamisha wagombea wwpi kama nchi nzima CHADEMA wanalalamkka kuwekewa pingamizi?
 
mwembe wenye maembe ndo unaorushiwa mawe... hivi we lizaboni unafikiria kwa kutumia nn? halafu mbona huwa huongei lolote bila kuitaja chadema?
 
mwembe wenye maembe ndo unaorushiwa mawe... hivi we lizaboni unafikiria kwa kutumia nn? halafu mbona huwa huongei lolote bila kuitaja chadema?
Mpaka sasa sijaona machadema mkijibu hoja zangu
 
Wewe tatizo lako ni lipi mpaka uulize hili swali!? Kipi kinachokusumbua kama walalamikaji ni CHADEMA na siyo UKAWA!?
 
Wewe tatizo lako ni lipi mpaka uulize hili swali!? Kipi kinachokusumbua kama walalamikaji ni CHADEMA na siyo UKAWA!?
Kama huna majibu ya maswali niliyouliza ni bora ukakaa kimya
 
Wewe una akili matope kweli. Tuambie sasa CUF, NCCR a NLD wamesimamisha wagombea wwpi kama nchi nzima CHADEMA wanalalamkka kuwekewa pingamizi?


Yaani ni heri mwenye akili matope kwa sababu ndani ya TOPE kuna viumbe hai wanaishi. kulikoni wewe mwenye FUNZA katika ubongo wako. Hata Mwalimu aliyekufundisha hatimaye ukajua kusoma na kuandika alifanya kazi sana. Na bado umebaki na tatizo moja la kusoma na kuelewa unachosoma. na hii ni kutokana na FUNZA walio katika FUVU lako(instead of Brain).

=== Nimesema kuwa UKAWA siyo chama cha Siasa yaani haijasajiliwa, isipokuwa ni muungano wa vyama fulani ili kuleta mabadiliko.

Haiwezekani eneo kuna mgombea kwa tiketi ya CHADEMA akasimama kiongozi wa chama CUF na kuweka pingamizi au kulalamika kuhusu vitendo haramu vya sheria za uchaguzi.


Soma kisha tafakari.


MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
Watanzania wote wezi tu, unajua Mbowe utajiri wake aliupataje, mtu alikuwa teller tu BOT.

Wewe lazima utakuwa ni mtoto na unasikiliza siasa hizi za kina Lizaboni ....................... Familia ya Mbowe ni matajiri hata kabla ya Uhuru!!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu, nadhani hujasoma na kama umesoma basi hujaelewa. Ni kwamba kwa nini wanaolalamika ni CHADEMA tu na si viongozi wengine wa UKAWA?

Sasa unalazimisha mtu kusoma maelezo kibaooo...wakati ni pointless.

Ukawa ndio mpango wa mungu
 
Maswali ya kipumbavu ambayo hayana tija kwa Watanzania yapeleke lumumba kwa Wapumbavu wenzio, sio hapa. Mambo ya Ngoswe mwachie Ngoswe mambo ya ndani ya UKAWA au CHADEMA hayakuhusu.

Kama huna majibu ya maswali niliyouliza ni bora ukakaa kimya
 
Back
Top Bottom