Kwanini wanaofumaniwa wanakuwa wanyonge

Kwanini wanaofumaniwa wanakuwa wanyonge

Wanaofumaniwa ni kwamba wanakuwa hawana nguvu au ujasiri unayeyuka ? mbona hakuna anayemtwanga aliyemfumania Unampiga tu anaekufumania akileta shida ,kwani huyo mwanamke wake ni mtoto ? si alikubali akiwa na akili zake timamu shughulika na mwanamke wako sio unayemfumania
The guilty are afraid...!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fumaniwa uwe mbabe nnje ya nyumba ya mwanaume uliemla mke wake.

sio unafumaniwa ndani ya nyumba ya mwanaume huyo huyo umemlia mkewe halafu uwe mbabe utakatwa koromeo unajiona.
Hahaha .. kwenda nyumbani kwa mtu huo ni uchokozi uliotukuka na ni dharau mtu wa aina hii anastahili vitasa vilivyoenda chuo
 
labda hufuatilii hayo matukio, kama huna nguvu za kutosha usipange fumanizi itakula kwako na utashangaa...
kuna wengine wamepoteza maisha ama kubaki vilema kisa wake zao
Mwenza wako akifikia stage hiyo ya kuchepuka ni vyema muachane njia maana hajwezi uka mcontrol binadamu mwenzako
 
Wanaofumaniwa ni kwamba wanakuwa hawana nguvu au ujasiri unayeyuka ? mbona hakuna anayemtwanga aliyemfumania Unampiga tu anaekufumania akileta shida ,kwani huyo mwanamke wake ni mtoto ? si alikubali akiwa na akili zake timamu shughulika na mwanamke wako sio unayemfumania
Pichaaa Je?
 
Vunja mifupa ingali meno ipo, hizi papuchi tuendelee kuzichakata bila kuoneana wivu, ukiona manzi yako imevuliwa kyupi tafuta mwingine kamvue, acha kugombana na mwanaume mwenzio kisa mbususu utakufa na utaziacha au utakufa utamwacha mzee kitombile akiendelea kumgongelea misumali mkeo[emoji120]
Jina lako linatishia usalama wa Raia na Mali zao
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom