Tindo
Platinum Member
- Sep 28, 2011
- 69,571
- 123,048
Mleta mada umekuja na propaganda za kizee sana, nijuavyo Slaa alisema hatamuonea mtu bali yoyote aliyetumia mamlaka yake vibaya atapelekwa mahakani na mahakama itaamua. Hapa haijalishi ni rais mstaafu, usalama wa taifa, sijui polisi wala nini. Kama hao viongozi wanajishuku ndio tunaowatafuta wajibu nini walilifanyia taifa na sheria ichukue mkondo wake.
Hayo mambo ya upadre sijui ukristu ni siasa za kizee zilizopandikizwa na ccm ili wabaki madarakani. Sasa hivi wamebaki watu wachache wanaomini kwamba wapinzani wataleta vita kama mlivyokuwa mkiwadanganya hapo mwanzo.
Kwa taarifa yako Slaa ubaya wake ni pale aliposema atafanya elimu nchini kuwa bure huku ccm wakisema ni padre muongo. Leo hii bila aibu rais anatangaza kuanzia mwakani elimu itakuwa bure!!! Sasa wananchi wanajua nini faida ya upinzani na matokeo mmeyaona kwenye uchaguzu s/m. Na bado zile mbinu za kizee mnazotumia kubaki madarakani sijui kuboresha miundo mbinu, kushusha bei za vitu, kutokusumbua wananchi, wapinzani tumejipanga kutoa ufafanuzi wa kina jinsi mnavyowahadaa miaka yote kwa kichaka cha amani huku mkipora haki zao.