Kwanini Wananchi walimkataa na watamkataa Slaa

Kwanini Wananchi walimkataa na watamkataa Slaa

ni busara na hekima gani unayotaka rais anayefuata awe nayo wakati jk ametengeneza uozo ktk taifa hili?
 
slaa hawezi kuwa rais kwanza ni mzinzi pia hana uzoefu na mambo ya siasa za kimataifa he is just local politician asiye na msaada kwa watanzania.....

Wale wote wanaoishi kwa hisani ya mafisadi wanamuogopa sana dr slaa,wanajiuliza wataishi vipi mizizi ya ufisadi itakapokatwa?
 
kufukuza na kufunga watu ni tabia iliojengeka katika moyo wa slaa .hata kuthubutu kutaka kumng'oa zito ambae ana ukubalifu mkubwa kuliko yeye na mwalimu wake katika ujengaji wa hoja.kwa uroho wa madaraka ya chama.nachelea kuuliza kama ndani ya chama ubinafsi ndio huu je taifa itakuaje
 
Ni kweli kabisa. Huyu mtu anayomapungufu kadhaa ya msingi. Hadi leo hajaweka sawa maisha yake ya ndoa. Huu ni udaifu mkubwa. Ameshindwa kutuweka wazi kuhusu hili. Sidhani kama kuna mzazi makini atamuelekeza mwanae aishi kama huyu jamaa. Sidhani kama kuna kituo au taasisi inayoishi na vijana wanaojipanga waaze maisha kama watafamnya maisha ya huyu mzee yawe kioo chao

Pia fukuzafukuza ndani ya chama chake ni udhaifu mkubwa sana. Iweje wajione borakiasi cha kuwafukuza wenzao wakati wanahitajiana kwa umoja wao?

Zaidi ya yote ahadi anazotoa hazina msingi wa kiuchumi. Anaahidi mambo ambayo hahatekelezeki. Mabati Saruji nk. Ili tu apate kura. Bei ya mabati au saruji haipangiwi Ikulu. Hupangwa kutokana na gharama za uzalishaji.

Mwisho kabisa ni kiongozi ambaye ni mbinafsi. Kutogombea ubunge mwaka 2010 kuliendana na masharti ya kimaslahi kwake binafsi. Hivyl kwake yeye siasa ni biashara
huna akili
 
slaa amekataliwa ni kweli
na mafisadi lakini raia wenye uchungu na nchi yetu ndio chaguo letu
 
Mwl Nyerere alisema katika moja ya hotuba sake maarufu kuwa mgombea wa ccm laxm achujwe kwan akishatangazwa huenda umemtangaza raisi.

Slaa wananchi watanganyika nazanbibar walimkataa na bado kama UKAWA watajichanganya basi CCM itapita km kupita bila kupingwa.

Slaa 2010 alidaiwa kuwa na mafungamano mazito na waajiri wake wa mwanzo jambo ambalo lilisaidia kutoka kwa waraka kwa waamini namna ya kupata viongozi wao. hill bado lipo na ndio maana CHADEMA imepigwa Zanziba, Pwani, Tanga, Lindi, Mtwara, Tabora nk.

Slaa ni kiongozi Mwenye jazba intolerant na hawezi kucompromise. ukisikiliza speech zake anaamini akishika madaraka karb nusu ya watu atawafunga. anawatuhumu marais wastaafu mawaziri, polisi,jeshi,usalama wa taifa, majaji sasa km utafukuza polisi, usalama wa taifa,utafunga viongozi wastaafu hueezi baki salama mfano mzuri ni misri . raid Mandela angekuwa km Slaa Leo dunia isingemkumbuka kwani alisamehe na kuridhiana.

Slaa ni MTU asiependa kupingwa wala kukosolewa na mfano mzuri ni suala LA zito. namna Kikwete anavyokosolewa lakini anavumilia ingekuwa padri slaa wengi wangekua magerezani. kiongozi gani anapenda tu kusikia akisifiwa tu basi.ukileta hoja ya udhaifu wake unakuwa labelled msaliti na unafukuzwa.

Slaa hawezi kuongoza nchi hoi labda mtaa wa Ufipa.
cc UKAWA
cc Mbatia
cc prof Lipumba
cc Makaidi

argue don't shout!!!!!

Mtachonga sana mziki bado mpaka mavi yagonge chupi cc hatuna papala ya kumtangaza rais wetu.
 
Mtela na shonza wanamtukana slaa kama shemeji yao. Lakini rais wa mioyo anapiga kazi tu kama kawaida
 
TANZANIA, utafiti unaonyesha kuwa 40% ya watanzania wana Mtindio wa Ubongo- uliosababishwa na ukosefu wa lishe . Hii maana yake ni kuwa fikra na mawazo yao ni dhaifu na ndio wengi waliosoma. Unategemea nini?
 
slaa nizao bovu la ccm,angalia siasa zake hazina utofauti na siasa za baazi ya viongoz wa ccm
kiongozi yoyote alie chama cha upinzani,alie wahi kumiliki kadi ya ccm. siasa zake ni zakihuni

Mkuu kuna harufu flani ya kaukweli maana dr katumia karibia nusu ya maisha yake akiwa CCM
 
Hivi kwa nini tunapenda kupotosha ukweli? Nani kakuambia Dr. W. Slaa alishindwa katika uchaguzi wa Rais??
 
Mleta mada umekuja na propaganda za kizee sana, nijuavyo Slaa alisema hatamuonea mtu bali yoyote aliyetumia mamlaka yake vibaya atapelekwa mahakani na mahakama itaamua. Hapa haijalishi ni rais mstaafu, usalama wa taifa, sijui polisi wala nini. Kama hao viongozi wanajishuku ndio tunaowatafuta wajibu nini walilifanyia taifa na sheria ichukue mkondo wake.

Hayo mambo ya upadre sijui ukristu ni siasa za kizee zilizopandikizwa na ccm ili wabaki madarakani. Sasa hivi wamebaki watu wachache wanaomini kwamba wapinzani wataleta vita kama mlivyokuwa mkiwadanganya hapo mwanzo.

Kwa taarifa yako Slaa ubaya wake ni pale aliposema atafanya elimu nchini kuwa bure huku ccm wakisema ni padre muongo. Leo hii bila aibu rais anatangaza kuanzia mwakani elimu itakuwa bure!!! Sasa wananchi wanajua nini faida ya upinzani na matokeo mmeyaona kwenye uchaguzu s/m. Na bado zile mbinu za kizee mnazotumia kubaki madarakani sijui kuboresha miundo mbinu, kushusha bei za vitu, kutokusumbua wananchi, wapinzani tumejipanga kutoa ufafanuzi wa kina jinsi mnavyowahadaa miaka yote kwa kichaka cha amani huku mkipora haki zao.

Hivi Mkuu Dr. Slaa ana umri gani, mbana kama vile na yeye unamnyanyapaa wakiti yumo kwenye kundi hilo? inaonekana una chuki na wazee kwa kuwa we Mkuu wazazi wako ni watota au basi tuseme vijana. Kutenda jambo jema halina uhusiano na umri.
 
Mleta mada umekuja na propaganda za kizee sana, nijuavyo Slaa alisema hatamuonea mtu bali yoyote aliyetumia mamlaka yake vibaya atapelekwa mahakani na mahakama itaamua. Hapa haijalishi ni rais mstaafu, usalama wa taifa, sijui polisi wala nini. Kama hao viongozi wanajishuku ndio tunaowatafuta wajibu nini walilifanyia taifa na sheria ichukue mkondo wake.

Hayo mambo ya upadre sijui ukristu ni siasa za kizee zilizopandikizwa na ccm ili wabaki madarakani. Sasa hivi wamebaki watu wachache wanaomini kwamba wapinzani wataleta vita kama mlivyokuwa mkiwadanganya hapo mwanzo.

Kwa taarifa yako Slaa ubaya wake ni pale aliposema atafanya elimu nchini kuwa bure huku ccm wakisema ni padre muongo. Leo hii bila aibu rais anatangaza kuanzia mwakani elimu itakuwa bure!!! Sasa wananchi wanajua nini faida ya upinzani na matokeo mmeyaona kwenye uchaguzu s/m. Na bado zile mbinu za kizee mnazotumia kubaki madarakani sijui kuboresha miundo mbinu, kushusha bei za vitu, kutokusumbua wananchi, wapinzani tumejipanga kutoa ufafanuzi wa kina jinsi mnavyowahadaa miaka yote kwa kichaka cha amani huku mkipora haki zao.

Hivi Mkuu Dr. Slaa ana umri gani, mbona kama vile na yeye unamnyanyapaa wakati yumo kwenye kundi hilo? inaonekana una chuki na wazee kwa kuwa we Mkuu wazazi wako ni watoto au basi tuseme vijana. Kutenda jambo jema halina uhusiano na umri.
 
he is not presidential material
Kiongozi unaweza kutuwekea matokeo ya uchaguzi wa 2010 kituo kwa kituo hasa ya urais tu ili tuone namna huyu jamaa alivyoshindwa ? Mungu iweke roho ya lewis makame mahali inapostahili , amina .
 
kufukuza na kufunga watu ni tabia iliojengeka katika moyo wa slaa .hata kuthubutu kutaka kumng'oa zito ambae ana ukubalifu mkubwa kuliko yeye na mwalimu wake katika ujengaji wa hoja.kwa uroho wa madaraka ya chama.nachelea kuuliza kama ndani ya chama ubinafsi ndio huu je taifa itakuaje

well said
 
mapadri waliofukuzwa kazi hawafai kuwa ht mabalozi wanyumba kumi
 
Back
Top Bottom