Pius Mwachuvaka
Member
- Jan 6, 2014
- 37
- 7
Nina wacwac na uwezo wako wa kiakili hukupaswa kuwa milembe wewe?
Mwl Nyerere alisema katika moja ya hotuba sake maarufu kuwa mgombea wa ccm laxm achujwe kwan akishatangazwa huenda umemtangaza raisi.
Slaa wananchi watanganyika nazanbibar walimkataa na bado kama UKAWA watajichanganya basi CCM itapita km kupita bila kupingwa.
Slaa 2010 alidaiwa kuwa na mafungamano mazito na waajiri wake wa mwanzo jambo ambalo lilisaidia kutoka kwa waraka kwa waamini namna ya kupata viongozi wao. hill bado lipo na ndio maana CHADEMA imepigwa Zanziba, Pwani, Tanga, Lindi, Mtwara, Tabora nk.
Slaa ni kiongozi Mwenye jazba intolerant na hawezi kucompromise. ukisikiliza speech zake anaamini akishika madaraka karb nusu ya watu atawafunga. anawatuhumu marais wastaafu mawaziri, polisi,jeshi,usalama wa taifa, majaji sasa km utafukuza polisi, usalama wa taifa,utafunga viongozi wastaafu hueezi baki salama mfano mzuri ni misri . raid Mandela angekuwa km Slaa Leo dunia isingemkumbuka kwani alisamehe na kuridhiana.
Slaa ni MTU asiependa kupingwa wala kukosolewa na mfano mzuri ni suala LA zito. namna Kikwete anavyokosolewa lakini anavumilia ingekuwa padri slaa wengi wangekua magerezani. kiongozi gani anapenda tu kusikia akisifiwa tu basi.ukileta hoja ya udhaifu wake unakuwa labelled msaliti na unafukuzwa.
Slaa hawezi kuongoza nchi hoi labda mtaa wa Ufipa.
cc UKAWA
cc Mbatia
cc prof Lipumba
cc Makaidi
argue don't shout!!!!!
sasa umefurahi neno padri mods wamefuta.
Kama Dr Slaa ataahidi kuwakamata akina baba Ritz haki ya mungu mimi binafsi nitampigia kampeni kuhakikisha anaingia ikulu.Kwa hali hii tuliyofikia Tanzania tunahitaji rais mwenye sifa kama za General Paul Kagame WA Rwanda, hatuhitaji watu laini laini kama akina Pinda au Makamba.Hapa ni TL tu.Mwl Nyerere alisema katika moja ya hotuba sake maarufu kuwa mgombea wa ccm laxm achujwe kwan akishatangazwa huenda umemtangaza raisi.
Slaa wananchi watanganyika nazanbibar walimkataa na bado kama UKAWA watajichanganya basi CCM itapita km kupita bila kupingwa.
Slaa 2010 alidaiwa kuwa na mafungamano mazito na waajiri wake wa mwanzo jambo ambalo lilisaidia kutoka kwa waraka kwa waamini namna ya kupata viongozi wao. hill bado lipo na ndio maana CHADEMA imepigwa Zanziba, Pwani, Tanga, Lindi, Mtwara, Tabora nk.
Slaa ni kiongozi Mwenye jazba intolerant na hawezi kucompromise. ukisikiliza speech zake anaamini akishika madaraka karb nusu ya watu atawafunga. anawatuhumu marais wastaafu mawaziri, polisi,jeshi,usalama wa taifa, majaji sasa km utafukuza polisi, usalama wa taifa,utafunga viongozi wastaafu hueezi baki salama mfano mzuri ni misri . raid Mandela angekuwa km Slaa Leo dunia isingemkumbuka kwani alisamehe na kuridhiana.
Slaa ni MTU asiependa kupingwa wala kukosolewa na mfano mzuri ni suala LA zito. namna Kikwete anavyokosolewa lakini anavumilia ingekuwa padri slaa wengi wangekua magerezani. kiongozi gani anapenda tu kusikia akisifiwa tu basi.ukileta hoja ya udhaifu wake unakuwa labelled msaliti na unafukuzwa.
Slaa hawezi kuongoza nchi hoi labda mtaa wa Ufipa.
cc UKAWA
cc Mbatia
cc prof Lipumba
cc Makaidi
argue don't shout!!!!!
kweli mkuu nakuunga mkono! Slaa hafai kuwa rais kwa kuwa atawashughulikia wezi bila huruma, Slaa hatufai maana ni muwajibikaji, huyu hatufai maana ni mkristo pia hatufai maana anatoka kaskazini na vile vile hatufai maana muwazi sana!!! Kama taifa tunahitaji rais Handsome, rais mwenye ujasiri wa kusmehe wezi, tunahitaj rais asiyeona haya kupitisha bakuli kama omba omba kule ulaya na marekani. taifa linahitaj kiongoz anayejua mitindo mizur ya suti, rais lazima awe na mke beautiful kwa ajili ya kuuza nae sura kwenye mikutano ya kimataifa na kwa hakika rais mwenye sifa hiz hapatikan kokote zaid ya CCM... kidumu chama cha mapinduzi!!!
hutaki kuchangia ondoka sio unawalilia mods km VP pandisha Uzi WK hu upotezee si lazm ukoment
Mzee slaa hafai kuongoza hata kundi la bawacha kiujumla siyo kiongozi hafai kwa lolote lile hachaguliki na hatachagulika.
....Slaa ni kiongozi Mwenye jazba intolerant na hawezi kucompromise.
Upinzani wakitaka kuingia magogoni kiulaini, waitishe kura ya maoni ili kumpata mgombea mwenye soko.Sio kukaa vikao vya ndani
then maamuzi yanatolewa na kikundi fulani cha watu......wakae chini, watafakari washirikishe wapiga kura wao mijini na vijijini hakika
Safari ya magogoni itakuwa rais kama urais