assadsyria3
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 6,909
- 4,057
- Thread starter
- #121
Deo Kisandu is.
utumiaji wa viroba ni hatari kwa taifa
Deo Kisandu is.
Matusi wanayasababisha Moderators
1. Huyu mleta mada anachochea chuki za kidin ametaja neno padri mara kadhaa na hapa siyo kanisani wala huo sio ukweli.
2. Mtoa hoja ametumia maneno kadhaa wa kadhaa ya kuudhi na kuchukia watu wa din ya ukristo kwa makusudi moderators wanaona sahihi.
3. Tumeshuhudia mada nyingi zenye mtazamo wa uchochezi wa kidin zikiondolewa, lakin mderators kwa hawa wanaochafua upinzani makusudi kupitia udin wanaacha.
4. Ni kweli kwamba tutapata kiongozi asiye nadin hapa Tanzania?
Nivema tufaham kwamba nidham ya jukwaa na members wa jukwaa hili utakuwa na maana kama moderators watakuwabalanced kwa watu wote na wadin zote. Moderators wanastahili kupewa lawama 100% kwa uchochezi na chuki za kidin hususan wakrist.
Mwl Nyerere alisema katika moja ya hotuba sake maarufu kuwa mgombea wa ccm laxm achujwe kwan akishatangazwa huenda umemtangaza raisi.
Slaa wananchi watanganyika nazanbibar walimkataa na bado kama UKAWA watajichanganya basi CCM itapita km kupita bila kupingwa.
Slaa 2010 alidaiwa kuwa na mafungamano mazito na waajiri wake wa mwanzo jambo ambalo lilisaidia kutoka kwa waraka kwa waamini namna ya kupata viongozi wao. hill bado lipo na ndio maana CHADEMA imepigwa Zanziba, Pwani, Tanga, Lindi, Mtwara, Tabora nk.
Slaa ni kiongozi Mwenye jazba intolerant na hawezi kucompromise. ukisikiliza speech zake anaamini akishika madaraka karb nusu ya watu atawafunga. anawatuhumu marais wastaafu mawaziri, polisi,jeshi,usalama wa taifa, majaji sasa km utafukuza polisi, usalama wa taifa,utafunga viongozi wastaafu hueezi baki salama mfano mzuri ni misri . raid Mandela angekuwa km Slaa Leo dunia isingemkumbuka kwani alisamehe na kuridhiana.
Slaa ni MTU asiependa kupingwa wala kukosolewa na mfano mzuri ni suala LA zito. namna Kikwete anavyokosolewa lakini anavumilia ingekuwa padri slaa wengi wangekua magerezani. kiongozi gani anapenda tu kusikia akisifiwa tu basi.ukileta hoja ya udhaifu wake unakuwa labelled msaliti na unafukuzwa.
Slaa hawezi kuongoza nchi hoi labda mtaa wa Ufipa.
cc UKAWA
cc Mbatia
cc prof Lipumba
cc Makaidi
argue don't shout!!!!!
slaa hawezi kuwa rais kwanza ni mzinzi pia hana uzoefu na mambo ya siasa za kimataifa he is just local politician asiye na msaada kwa watanzania.....