Fundi Madirisha
Senior Member
- Jun 30, 2020
- 184
- 1,000
mashujaa hufa. huwa hawakamatwi.Nilitamani sana bwana Amza angekamatwa mzima tujue sababu ya kufanya aliyofanya
Polisi wetu wa singesema sababu sana sana wangempakazia na pengine wangemlazimisha amtaje MboweNilitamani sana bwana Amza angekamatwa mzima tujue sababu ya kufanya aliyofanya
Mkuu una uhakika wino wako hauvuji kwenye simu?wAllah hawAkubar
We unadhani police hawajui kuwa sababu ni wao, uonevu na unyang'anyi umezidi kwa raiaNilitamani sana bwana Amza angekamatwa mzima tujue sababu ya kufanya aliyofanya
Lakini makosa kwa wengine siyo makosa kwako. Kwa sababu makosa huambatana na gharama kubwa.Siku zote tunatakiwa kujifunza kutokana na makosa.
Halafu ukipigwa ulaumu... Wachokozi bhana!wAllah hawAkubar
Wamemuua kupoteza ushahidi kisa wanakijua wauajiNilitamani sana bwana Amza angekamatwa mzima tujue sababu ya kufanya aliyofanya
Kama kuna dhuluma imetendeka basi polisi kumuacha hai bwana hamza ni ngumu.Nilitamani sana bwana Amza angekamatwa mzima tujue sababu ya kufanya aliyofanya
Wakipatikana akina Hamza kumi polisi watahesihu ka
Hii nchi inahitaji kina hamza kama kumi WATALETA HESHIMA SANAWakipatikana akina Hamza kumi polisi watahesihu katiba na raia.
Polisi wametesa sana watu zanzibar huko wamebata wanja wamrbaka mpaka familia nzimaKatika pitapita zangu mitaani nimeshtushwa sana na wananchi badala ya kuhuzunika kwa gaidi kuuwa polisi wetu na badala yake wamegeuka wanawalaumu pili kwa matendo yao ya kubambikizia kesi,dhuluma,uonevu,kuchochea chuki,kuuawa raia wawapo mahabusu nk. Hii inaashiria kiti gani mbona si kawaida?
Napata mshituko mkubwa sana kuona rais wamekosa uzalendo wa kuliamini jeshi lao kiasi hiki. Polisi katika hili wajitafakari sana hii siyo kawaida, sasa watafanyaje kazi ikiwa raia hawatawapa Tena ushirikiano?
Lipo tatizo nadhani, hili jeshi linahitaji Reformation tena ya kikatiba kabisa. Recruitment ya polisi iwe ya hali ya juu sana, jeshi kulaumiwa kiasi hiki si kawaida.