GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,052
- 126,610
- Thread starter
- #41
Hivi unafikiri ni kwanini unafanya code switching ya lugha ya kiingereza na kiswahili na sio lugha nyingine katika uandishi wako. Majibu ulioyapata yahusianishe na muktadha wa swali lako.
Sasa Hapa Tunajadili Ubabe Wa WAJEDA Wenu Wa TZ au Code Switching Ya English Na Kiswahili? Kama Vipi Ianzishie Uzi Wake.