Idimi,
Mkuu laiti ungeelewa kuwa jibu hilo la
Poise ndilo la ki great thinker hakika usingenilaumu.
Elewa kuwa Jeshi au Polisi wana vituo/ ofisi/kambi kila eneo la kitawala ...
Yeye muuliza swali anashindwa nini kwenda na kupata majibu mubashara kabisa kutoka kwa first hand sources of information!?
Wote waliojibu wametoa majibu mengi ya kufikilika na kudhania.
Ila majibu sahihi yapo kwenye maeneo niliyokutajia.
Hata nawe na mleta uzi, mnaweza mkaenda pale kwenye kambi/vituo au ofisi na mkapata majibu mubashara.
Ila kumbukeni tu kuleta majibu humu JF.