Kwanini wanajeshi na Polisi hawalipi nauli?

Kwanini wanajeshi na Polisi hawalipi nauli?

Nikisema uyasemayo ni uchochezi utakataa ?
 
Polisi na wanajeshi ni watumishi kama watumishi wengine. Wakati mwingine wao wanalipwa mishahara mikubwa na marupurupu mengi kuliko watumishi wengine.
Swali langu ni kuwa kwanini watu hawa wanasafiri bure hasa kwenye madalalada? Lengo la kuwafanya wasafiri bure ninini?
Je lengo ni kuwamotisha? Mbona huduma nyingine wanalipa?
Ni kuwazubaisha? Ili waone wanapendelewa huku haki zao zikibinywa?
Inakuaje wanafunzi ambao hawaingizi kipato chochote walipe nauli na wanajeshi wanaolipwa mishara wasilipe nauli? Hii ni sawa kweli?
Kwa swali lako hilo nenda kamuulize na Rais kama analipa nauli akiwa kazini anaenda kazini? maana na yeye ni mtumishi wa umma
 
Back
Top Bottom