Kwanini wanaacha blank page kwenye baadhi ya makala?

upupu

JF-Expert Member
Apr 15, 2008
614
197
Wakuu,

Naomba mnifahamishe,

Nimekuwa nikisoma intellectual documents, mara nyingi document inapoanza, page zile za mwanzo mwanzo, utakuta kuna page moja imeachwa blank, na wanaandika kabisa kuwa hiyo page imeachwa hivyo intentionally,

Swali, Je ni nini maana ya kuacha hiyo page?
 
a14950ed0f350fe62fa3ce1e2aacd3ac.jpg
 
Hiyo page inatumika kuandikia observation za msomaji kwenda kwa muandishi wa makala. Haswa intellectual documents na Vitabu.
 
Wakuu naomba mnifahamishe, nimekuwa nikisoma intellectual documents, mara nyingi document inapoanza, page zile za mwanzo mwanzo, utakuta Kuna page moja imeachwa blank, na wanaandika kabisa kuwa hiyo page imeachwa hivyo intentionally, swali, Je ni nini maana ya kuacha hiyo page!?
Wanaacha makusudi ili kama unalihitaji chapisho husika ununue
 
hiyo page huwa inaachwa wazi kwaajili sa sahihi 'autograph' ya mwandishi siku ukimkuta maeneo na kumuomba akusainie
 
Intellectual document ni serious publications kama HANDBOOK za specialisations husika na hizi huchapishwa na taasisi makini kama vile World Bank au Gwiji/Guru kwenye fani mfano Profesa, PhD si ule wa kupewa au wa Uganga.
 
  • Thanks
Reactions: Hey
Back
Top Bottom