The Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 10,959
- 13,425
Nimekuwa nikifuatilia nyuzi nyingi za kimombo. Nimegundua kuwa hazina wachangiaji, na hivyo wasomaji. Je, tatizo ni lugha au kuna namna?
Kwakuwa sii wamombo na pia wanapenda kujua kama wanaendana na mtazamo wa wanakimombo!Nimekuwa nikifuatilia nyuzi nyingi za kimombo. Nimegundua kuwa hazina wachangiaji, na hivyo wasomaji. Je, tatizo ni lugha au kuna namna?
Kimombo ni lugha ganiNimekuwa nikifuatilia nyuzi nyingi za kimombo. Nimegundua kuwa hazina wachangiaji, na hivyo wasomaji. Je, tatizo ni lugha au kuna namna?
Hatupo shule tunajifunza kiutu uzima walio mashuleni wana angaika na muvi za kizungu sisi ni DJ rufufu tuNimekuwa nikifuatilia nyuzi nyingi za kimombo. Nimegundua kuwa hazina wachangiaji, na hivyo wasomaji. Je, tatizo ni lugha au kuna namna?
Ni kiinglish aka kiingereza, yai, ung'eng'e, kizungu etcKimombo ni lugha gani
Tuanzie hapo kwanza
Mkuu, utachangia kwa kimombo wakati hicho kimombo ulikitupa kando au ulidanganywa kuwa hiyo ni lugha ya beberu. Leo hii mchina na maendeleo yake bado ni muhimu upite kimombo kama ukitaka kuendelea chuo kikuu.Nimekuwa nikifuatilia nyuzi nyingi za kimombo. Nimegundua kuwa hazina wachangiaji, na hivyo wasomaji. Je, tatizo ni lugha au kuna namna?
Jibu hata wewe jibu unalo lakini you pretend to be dumb....Nimekuwa nikifuatilia nyuzi nyingi za kimombo. Nimegundua kuwa hazina wachangiaji, na hivyo wasomaji. Je, tatizo ni lugha au kuna namna?
Kumbe ndo wewe unayenitongozaga na blah blah zako nyingi kule 😹😹😹Mimi naendaga zangu reddit napiga kiingereza changu wee, nikijisikia kutumia kiswahili nakuja huku.
Kiujumla watanzania hatutumii sana kiingereza. Na humu tumejazana watanzania.