Kwanini wamchome moto?

Nafurahia kua Muislamu

katika moja wapo ya mafundisho ya Uislamu ni kua usilijengee kaburi kwaio kwa mantiki hii ikipita miaka na miaka mnaweza kuja kuzika sehemu ile ile kwakua yule atakua kashaoza na kashakua mchanga

Uislamu ni Raha sanaa
 
Europe naona kama vile 60% wanachoma moto,.... swala hili limekuwa bado geni kwa waafrika ila ni kawaida tu
ni kawaida huko kwa wazungu wenu wanaochoma 60%
huku kwetu sio kawaida, hatuchomi hata 1%
kitu hakiwezi kuwa kawaida kwa sababu tu mzungu anakifanya
acha ulimbukeni
 
ni kawaida huko kwa wazungu wenu wanaochoma 60%
huku kwetu sio kawaida, hatuchomi hata 1%
kitu hakiwezi kuwa kawaida kwa sababu tu mzungu anakifanya
acha ulimbukeni
Kwahiyo mpaka we uidhinishe ndio iwe kawaida??
Mkuu kuna kitu kinaitwa the law of correspondence ama unaweza kuiita the law of mirror, isome inakugusa sana hasa hapo kwenye huo mstari wa mwisho.
 
Back
Top Bottom