Kwanini waluguru hawapendi shule?


Jaah Baba mlamwenda bibi mlamnoge. Hatari sana
 
Mkuu nimecheka sana na inaelekea unapajua vema Morogoro.

nilishawahi kukaa na kutembelea baadhi ya sehemu nyingi mjini na vijijini

pale magubike, gairo napakubali kwa viazi vile vyekundu na karanga

mdaula, zomonzi, kizuka, pale mikese nshawahi kupata ajari ya basi siwezi kusahau

mzumbe, udizungwa, kidatu kote na wadau hadi veta mikumi

pale mjini kihonda - kilimanjaro, godesi, kwa komba, mbuyuni mazimbu, siku moja boko alizingua sana akaja daraja la treni pale darkcity ndio akapigwa risasi watu wakala sana nyama siku hiyo
usiende kizembe uchamwinoni labda siku hizi wawe wastarabu

widazcamp, madizini, bigwa, kola hill pale makaburini matukio ni mengi sana

8-8, mzambarauni, msamvu, komoa hadi kule idara ya maji, 7-7 sokoni

we acha tu umenikumbusha mbali sema na miaka sijaenda
 
Pole kwa experience ya kupata ajali ya basi.
Chanzo cha ajali kilikuwa nini?
 
Tofauti ya waluguru na wakaguru ni nini? Maana wote ni wafupi na wapo Morogoro?
 
Tofauti ya waluguru na wakaguru ni nini? Maana wote ni wafupi na wapo Morogoro?
Waluguru nawajua sana.Tabia za wazenji na waluguru zina fanana.

Kuuza kuku mzima au kuchoma nyama kilo wao wanawaza vipande vipande
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…