Kwanini walimu hawazeeki mapema?

Kweli aisee mkuu nakuunga mkono 💯% natoka familia ya walimu bibi yangu kastaafu 2012 ukimwona bado yupo fiti mbaka Kuna wanafunzi wake wa miaka ya 80 huko wanadhani Bado anafundisha mbaka now akiwaambia ana miaka 9 Toka astaafu wanabisha kabisa Yani!
 
pia waalimu kipato chao ni kidogo lakini wanajitahidi kuwasomesha watoto shule nzuri za gharama.
 
Aisee,we umeongea.
,tunawakamata na vibarua vya mapenzi,tunawahoji wameyaona wapi haya,majibu yao sasa
 
Kubwaa kuliko watoto wenu wanatupa raha, yani tukisahisha mitihani tunacheeeka hadi makunyanzi yanaondokaaa...wanajua kuandika pumba Wallahi.....
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌
 
"Mkapeana mambo mkagonga" Samahani mkuu hii imekuwa sentensi tata kwangu

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
kuna moja yupo mtaani kwetu hapa anastaafu mwakani lakini ukimlinganisha na mimi ambao ndo na miaka 9 kazini.naonekana zee la mi mvi kichwani
 
Hahahaha
 
Kwa Mtazamo wangu Wanamuziki ndiyo hawazeeki mapema kutokana na kuwa na furaha sana katika kazi yao ya muziki/burudani. Hawana stress

Juzi tu nimemwona mwanamuziki mkongwe mzee Zoro ametupia pensi kama sharo wa umri wa miaka 30 hivi.
Huyo anajifanyisha tu lakini kongoro kwisha anapenda ujana by kulazimisha mambo, lakini walimu hata avae vip utamuona bado ana umri umri wa kutokuzeeka
 
Kuna mwalimu alinifundisha kusoma na bado akaja kumfundisha mwanangu 1990's kusoma pia.

Shule ya msingi mtakuja,
 
Kwa fikra zangu nafikiri ni kwasababu ya pyschology.. kwasababu Walimu muda mwingi wanautumia wakiwa na Vijana na watoto.. basi hii inapelekea Pyschology na akili zao kujivika utoto ingali ni watu wazima.. Hivyo cells za mwili zinafanya adaptation kulingana na ubongo wao kukaa kwenye Mazingira ya watoto na vijana na watoto muda mrefu.. that's why hawazeeki.. Ila. Kwa mtu Mwingine utazeeka mapema kwasababu akili yako inakaa zaidi na watu wazima ofsini na vijana wasio kwenye Mazingira ya kishule hizo inazeeka mapema
 
Watu wanao ongea sana hawazeeki harska
 
Kazi yao yenyewe ni mazoezi tosha, yaani kwa siku Mwalimu ana vipindi tuseme vinne na Kila kipindi anatumia dakika 45 maana yake kwa siku anasimama wima na kufanya movement za hapa na pale kwa muda wa masaa matatu

Hivyo basi afya yake lazima iwe vizuri na kuendelee kuwa kijana kila siku..
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…