Kwanini walimu hawazeeki mapema?

Science inakuonyesha kuwa ukiangalia muda uliotumia ukiwa mdogo unaonekana ni mwingi kuliko ukiwa mtu mzima ndio maana unaona hawazeekei na aewe ukahisi ni muda mrefu umepita toka akufundishe.

Mfano, unaweza hisi miaka 20-30 ni inaenda slow kuliko 30-40
 
ukweli ni kuwa wakati huo ukiwa mdogo wao walikuwa wadogo pia ila kwa upeo wa wakati ule uliwaona wakubwa sana
Hii ni sababu yenye mashiko.

Kuhakikisha hili itabidi ujue umri wake kipindi we unasoma na amezaliwa mwaka gani ili kupata kupata jumla ya umri, utofauti wa miaka utaleta mrejesho je ni kweli muonekano wake na umri alionao haviendani kweli.

Alafu tutalinganisha na mtu kutoka taaluma nyingine mwenye umri sawa na walimu tuone kuna tofauti?
Tutumie watu mashuhuli tunaowajua wote.


NB: Ila walimu miaka yanyuma walikua wanaishi kama wafalme.

β€’Wanaheshimika.

β€’Hawafanyi kazi ngumu kazi zote kuanzia kuchota maji hadi kupika wanapikiwa na wanafunzi wale best wenye nidhamu ya juu.

β€’Wanazawadiwa kuku mayai na maziwa na wanakijiji.

β€’Kazi yau inahusisha social interaction (michezo kwa wingi mara umiseta hujakaa sawa umitashumta... hujabadilisha mkao inter school competition ).

β€’Wakikubwa na migogoro stress na hasira wanazimalizia kwa wanafunzi.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.

Sasa apo stress na depression inatokea wapi eti jamani!!!?πŸ˜‚πŸ˜‚
 
huu uzi ni wa kitambo kweli 😁
 
Kwa Mtazamo wangu Wanamuziki ndiyo hawazeeki mapema kutokana na kuwa na furaha sana katika kazi yao ya muziki/burudani. Hawana stress

Juzi tu nimemwona mwanamuziki mkongwe mzee Zoro ametupia pensi kama sharo wa umri wa miaka 30 hivi.
Kuna njemba Mona niliisijia inisema ukitaka kufa mapema kuwa m/ music,.
 
huu uzi ni wa kitambo kweli 😁
Dah! Hata sikujua ndio umenisanua apa... kuchek naona uzi umenizidi umri humu JF πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„.
 
Mfumo wa maisha pia unachangia hawana hela za anasa na wanatumia muda mwingi kwenye kuandaa madesa na tuitions etc.

Anyway walimu wangu walevi wa gongo nishawazika sana tu pamoja na wale vicheche.
ukinywa gongo lazima uzeeke mapema
 
wamepishana miaka mingapi?
 
Huwezi kukutana na walimu wachache kati ya walimu wote waliokufundisha ukaishia kufanya conclusion kuwa walimu wote hawazeeki?
Kwani walimu wana kitu gani special zaidi ya binadamu wengine kinachofanya wasizeeke?
Ndo mana nikaleta hapa jukwaani kwa kifupi sio mtizamo wangu Peke yangu ni wengi tu wameliona hilo.
 
Hadi nimekupenda mwalimu khaa...
 
Natafuta mwalimu wa kuoa na kujenga nae maisha, mwalimu. Unesema hamfake maisha, very veery important. Najua moja ya stori zenu ofisini ni pamoja na mahusiano
 
Kazi ya kitume ile

Nenda kwa wale wavaa uniform wapiga virungu kachunguze jinsi walivyo na laana
 
Natafuta mwalimu wa kuoa na kujenga nae maisha, mwalimu. Unesema hamfake maisha, very veery important. Najua moja ya stori zenu ofisini ni pamoja na mahusiano
Kila lenye heri mkuu, Mungu akusaidie sio tu upate mwalimu bali mke mwema.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…