Nikweli kabisa walimu hawazeeki mapema,,nimeanza shule nina mwaka 1994 nikamkuta mwalimu tumbo ni mkuu shule ya msingi nyanza na hadi leo ni mwalimu mkuu pale nyanza na bado anadundika tu.
Wanakunywa sana maziwa,kwa hof ya chak
Walimu wengi ni Aliens
Lile zoezi LA kusimama class kila siku na kutembea tembea ukiunganisha zile route in kilometers kadhaa ndio maana hawazeeki mapema. Mazoezi mengi
Ukweli ni kwamba tunajua kuridhika, hakuna mashindano ya kijinga ofisini...Huyo Mkuu wa shule ana Boda Boda, mratibu Elimu ana baskeli...me nikakimbilie mkopo wa gari kisa cha kujitia stress nini? Akuu
Halafu hatuna stress za ntakula nini, tunakopesheka yani...nimeshuhudia huku nabebembelezwa kukopa nyama kiroho safi...tunaaminika sa we jaribu kukopa uone unavyopigwa cha mbavu.
Halafu hamna stress za kukutana na boss kila siku ofisini yani...unafanya kazi unavyopenda wakaguzi wanakuja Mara moja kwa mwakaaa...
Pia ni lifetime job, yani uumwe, uvunjike, upooze mshahara uko pale pale na kibarua hakipo mashakanii...
Kubwaa kuliko watoto wenu wanatupa raha, yani tukisahisha mitihani tunacheeeka hadi makunyanzi yanaondokaaa...wanajua kuandika pumba Wallahi.....
nimemaliza...

hhhahahahahahaha...umenchekesha hadi machozi wallah!
Live long 'ticha!'...(km kweli lkn)
Thank yoouu...Me Ticha bwana...Am so proud na ualimu wangu.
safi sana!
'shemeji' alishawajibu lakini anawaachaje?
Mashallah katuacha vizuri si haba, yani katutoa kuleee katuleta hapa... Tunamngoja kaka sasa.
Nikweli kabisa walimu hawazeeki mapema,,nimeanza shule nina mwaka 1994 nikamkuta mwalimu tumbo ni mkuu shule ya msingi nyanza na hadi leo ni mwalimu mkuu pale nyanza na bado anadundika tu.
Sio Mwl Tumbo tu. hata Mwl Mulenga nilimuona hazeeki. Mie mamvi kibao lakini Mwl Farida mulenga yuko mkakamavu. Mungu wape maisha yenye neema waalimu wetu wote.
Kwakweli ni kazi isio na stressUkweli ni kwamba tunajua kuridhika, hakuna mashindano ya kijinga ofisini...Huyo Mkuu wa shule ana Boda Boda, mratibu Elimu ana baskeli...me nikakimbilie mkopo wa gari kisa cha kujitia stress nini? Akuu
Halafu hatuna stress za ntakula nini, tunakopesheka yani...nimeshuhudia huku nabebembelezwa kukopa nyama kiroho safi...tunaaminika sa we jaribu kukopa uone unavyopigwa cha mbavu.
Halafu hamna stress za kukutana na boss kila siku ofisini yani...unafanya kazi unavyopenda wakaguzi wanakuja Mara moja kwa mwakaaa...
Pia ni lifetime job, yani uumwe, uvunjike, upooze mshahara uko pale pale na kibarua hakipo mashakanii...
Kubwaa kuliko watoto wenu wanatupa raha, yani tukisahisha mitihani tunacheeeka hadi makunyanzi yanaondokaaa...wanajua kuandika pumba Wallahi.....
nimemaliza...
Kwakweli ni kazi isio na stress
mie kwa wiki kazini naenda mara mbili tu kwenye vipindi siku zingine zote nafanya mambo mengine
siachi ualimu hata iweje
Wewe lazima utakuwa mwalimu wa .comUkweli ni kwamba tunajua kuridhika, hakuna mashindano ya kijinga ofisini...Huyo Mkuu wa shule ana Boda Boda, mratibu Elimu ana baskeli...me nikakimbilie mkopo wa gari kisa cha kujitia stress nini? Akuu