Hivi ni kwanini Waafrika wana chuki na matajiri?

Forgotten

JF-Expert Member
Jul 20, 2018
3,347
10,227
Nimekuwa nikifuatilia habari za kupotea kwa submarine inayomilikiwa na OceanGate iliyokuwa ikifanya safari yake katikati mwa bahari ya Atlantic kuelekea chini kabisa kwenye kina kirefu kutazama mabaki ya Meli ya Titanic iliyozama 1912 ila kinachonishangaza ni kuona muendelezo wa chuki binafsi za waafrika dhidi ya watu matajiri au wenye mafanikio kuwazidi.

20230623_190230.jpg

1
20230623_190244.jpg

2
20230623_190326.jpg

3

Ni kwanini watu wanaamini wanayo haki ya kumpangia mtu matumizi ya pesa yake?

Wengine wanadai kifo chao ni pigo baada ya kumdhihaki Mungu? Kivipi wamemdhihaki Mungu?

Bado sielewi Wa-Afrika wana tatizo gani hasa linapokuja suala la utajiri na imani.

Tajiri akipata tatizo ni wa kwanza kumcheka, mtu mweusi ni binadamu anayetaka wote muwe na shida.

Mtu mweusi kila kitu atalazimisha mambo ya imani yaingie hapohapo.
 
Nimekuwa nikifuatilia habari za kupotea kwa submarine inayomilikiwa na OceanGate iliyokuwa ikifanya safari yake katikati mwa bahari ya Atlantic kuelekea chini kabisa kwenye kina kirefu kutazama mabaki ya Meli ya Titanic iliyozama 1912 ila kinachonishangaza ni kuona muendelezo wa chuki binafsi za waafrika dhidi ya watu matajiri au wenye mafanikio kuwazidi.

View attachment 2666608
1
View attachment 2666609
2
View attachment 2666610
3

Ni kwanini watu wanaamini wanayo haki ya kumpangia mtu matumizi ya pesa yake?

Wengine wanadai kifo chao ni pigo baada ya kumdhihaki Mungu? Kivipi wamemdhihaki Mungu?

Bado sielewi Wa-Afrika wana tatizo gani hasa linapokuja suala la utajiri na imani.

Tajiri akipata tatizo ni wa kwanza kumcheka, mtu mweusi ni binadamu anayetaka wote muwe na shida.

Mtu mweusi kila kitu atalazimisha mambo ya imani yaingie hapohapo.
Nj kua na dhana potofu kwamba umasikini wao umesababishwa na matajiri.
 
Back
Top Bottom