Aliyefiwa na mke anaitwa MGANEZa leo.
Nimechunguza kwa undani na kwa makini katika swala la ndoa. Kwa nini wajane ni wengi sana wanaume hutangulia kufa tatizo huwa mawazo mengi ya kulea familia au kutarafiana katika katika ndoa, au umri umeenda na anaona kashakuwa mtu mzima na hajajiwekezea, hesabu za haraka haraka katika ukoo wetu naowafaham wapo wajane kama 28.
Ila naomba kujibiwa mwanamke akifiwa na mumewe huitwa mjane je, Mwanaume akifiwa na mkewe huitwa nani?
mganeduh mwaume akifiwa na mkewe huitwaje? mi cjui ila kufa tunatangulia sana
MganeZa leo,
Nimechunguza kwa undani na kwa makini katika swala la ndoa. Kwanini wajane ni wengi sana wanaume hutangulia kufa tatizo huwa mawazo mengi ya kulea familia au kutarajiana katika ndoa, au umri umeenda na anaona kashakuwa mtu mzima na hajajiwekezea, hesabu za haraka haraka katika ukoo wetu naowafahamu wapo wajane kama 28.
Ila naomba kujibiwa mwanamke akifiwa na mumewe huitwa mjane je, Mwanaume akifiwa na mkewe huitwa nani?
Za leo,