Kwanini Waislamu wengi wanaota ndoto za Yesu huko Mashariki ya Kati?

Kwanini Waislamu wengi wanaota ndoto za Yesu huko Mashariki ya Kati?

Setfree

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2024
Posts
5,527
Reaction score
7,121
Ripoti kutoka Mashariki ya Kati, zinaeleza kwamba, Waislamu wengi wanaota ndoto za Yesu.
Katika ndoto hizo wanamuona Yesu akiwa na sura ya utakatifu, amevaa mavazi meupe, akihubiri amani na upendo na kuwaambia wamfuate.

Ndoto hizo zimesababisha idadi kubwa ya Waislamu kuongoka na kuigeukia imani ya Kikristo.

Kwa mujibu wa ripoti hizo, karibu asilimia 25 ya Waislamu walioongoka na kuwa Wakristo walieleza kwamba ndoto za Yesu ndio sababu kuu iliyowafanya kumwamini Yesu na kukubali kuwa ni Bwana na Mwokozi wa ulimwengu.

Ripoti hizo zinaeleza pia kwamba kulingana na sheria za kidini katika nchi hizo, watu hao walioamua kuwa Wakristo wanakabiliwa na adhabu kali na hata kifo. Hata hivyo, watu hao walioota ndoto hizo za Yesu wana ujasiri wa ajabu na wako tayari kufurushwa katika familia zao na kubeba gharama ya kuongoka kwao!

Sources:
CBN News
Mission Network News
Mission Frontiers
TrentStone
 
Kwani lini walimkataa?
Tangu mwanzo, wanasema hakufa wala hakufufuka. Tena wanasema Yesu sio Mungu wakati ushahidi upo mwingi
 
Hehee😅 mioto ya duniani sio mibaya, mkuu. Moto🔥 mbaya ni ule wa milele, usiozimika! Tuukwepe moto huo kwa kujitenga na hasira, chuki, ugomvi na matusi😊
Wewe ni mpumbavu,toka lini uislamu ulimkataa Yesu? Waliomkataa Yesu ni Wayahudi,

Yesu na Mama yake wanatambulika kwenye Uislamu,

Hizo nchi ambazo ukibadili dini unahukumiwa kifo unaweza kuzitaja hapa na kuweka hiyo sheria kutoka kwenye reliable source?

Wahi tiba Mirembe usije kuanza kula majalalani.
 
Wewe ni mpumbavu,toka lini uislamu ulimkataa Yesu? Waliomkataa Yesu ni Wayahudi,
Wanayemwamini sio Yesu, ni Isa. Isa sio Yesu.
 
Wanayemwamini sio Yesu, ni Isa. Isa sio Yesu.
Huna akili wewe.
 
Wewe tafuta tiba Mirembe kabla hujaanza kutembea bila nguo barabarani,Mlokole pori wewe.
Utasubiri sana. Mimi najiandaa kunyakuliwa na Yesu, soon na kwenda kwenye arusi kubwa ya kifahari. Kama hukupata mwaliko wa arusi, huu hapa.
 
Utasubiri sana. Mimi najiandaa kunyakuliwa na Yesu, soon na kwenda kwenye arusi kubwa ya kifahari. Kama hukupata mwaliko wa arusi, huu hapa.
Wewe Pimbi nimekuuliza ni nchi gani hizo ukibadili dini unahukumiwa kifo? Jibu lako lije na reliable source,

Wewe umeshanyakuliwa akili tayari,umeachiwa kiwili wili tu.
 
Back
Top Bottom