Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,176
- 48,460
Kwa Sasa kwenye mitandao ya kijamii duniani kote, kuna mabishano makubwa sana juu ya uhalali wa kutumia Hadithi kuuhimilisha Uislamu.
Lipo kundi linalosema kuwa Hadithi zimejaza tamaduni za Uarabuni na kuacha misingi ya dini ya kiislamu inayotokana na Quran.
Lakini kundi linalounga mkono matumizi ya Hadithi,linasema kuwa mambo mengi ya msingi ya Uislamu yanategemea kufafanuliwa kupitia Hadithi.
Kundi linalounga mkono matumizi ya Hadithi linasema hata mambo ya sala mara tano Kwa siku yasingejulikana kama kusingekuwepo na hadithi kuhusu idadi ya sala zinazotakiwa kwa siku.
Sasa sijaelewa msingi wa hitilafu hii ni nini hasa!!