Kwanini Waislam wengi hawana majina ya kiasili?

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,882
155,860
Utakuta mtu anaitwa Juma Mohamed Said. Yaani hata kutumia jina la babu ambalo ni la kiutamaduni hamna, why? Au wenzetu koo zenu zinatokea mashariki ya kati?

Afrika Magharibi Waislamu wengi tu wanaitwa kwa majina ya asili yao tofauti na huku Afrika Mashariki

Afadhali Wakristo utakuta mtu ana majina mawili ya kizayuni lakini jina la mwisho ni la babu yake

Mi naendelea na utamaduni ule wa kwetu, hata wanangu wana majina ya kitamaduni
 
Utakuta mtu anaitwa Juma Mohamed Said. Yaani hata kutumia jina la babu ambalo ni la kiutamaduni hamna, why? Afadhali Wakristo utakuta mtu ana majina mawili ya kizayuni lakini jina la mwisho ni la babu yake
Ni mentality slave tu, wala hakuna kingine.

Kwanza hakuna majina ya dini yoyote, Bali ni majina ya mashariki ya kati.

Wakristo wa sehemu hizo hawatumii majina ya kizungu.

Mfano Tareq Aziz vice President wa Saddam Hussein ni Mkristo mkatoliki.
 
Back
Top Bottom