Basi aendelee kuvumilia teuzi za JPM anazowapa Wakristu, na mwaka 2020 ampigie tena debe JPM ili aje alalamike vizuriJibu ni rahisi tu, hakuna mbadala wa CCM na hicho ndicho kinachowafanya siyo tu Waislamu bali Watanzania wengi tu, haya kwa mfano waitose CCM waende wapi, Chadema kwa Walutheri? Kwa maana hata CUF nayo iko chini ya Walutheri chadema, sasa watakuwa wamefanya nini?
unaongea kama mngese..unafikiri kweli!?Ushauri wangu wawekeze kwenye elimu kwa watoto wao tu
Wakiwa na wasomi na wenye sifa watachaguliwa tu
Basi msilalamike!! Kubalini matokeo ya uchaguzi wenu.Usipoiunga mkono CCM unamuunga nani na vyama vyenyewe vya upinzani ndio hivi ambavyo havina malengo ya kwenda IKULU? Vinaacha Sera zao za msingi, havina wagombea wenye sifa na vimejijenga katika Propaganda rahisi ambazo hata mtoto mdogo atashtuka tu!!!!
He sasa wakati wa Kikwete ulidhani angesema nini, picha hukuiona?!?!!?Sina hakika ninachokiandika kitawafikia wahusika lakini baada ya kuona threads mbili zinazomhusu Sheikh Khalifa akimlaumu Magufuli kwa udini wa kupendelea wakristo wenzie nimeona nichangie kidogo.
Sheikh Khalifa amekuwa akizungumza haya toka wakati wa Mwinyi ndio Rais
cha ajabu alipoingia Kikwete Ikulu sheikh Khalifa akanyamaza kimyaa
kuzungumzia msalahi ya waislam na mara kwa mara alikuwa
akimualika Kikwete msikitini na alishiriki kuwapigia kampeni wote
Mkapa,Kikwete na Magufuli.
Sasa leo anaanza kuongea haya haya aliyo yaongea zaidi ya miaka 20 iliyopita
na watu wanamshangilia.
Maswali ya kujiuliza ni haya?
Je, ni lazima waislam waiunge mkono CCM?
Why kila mara malalamiko haya haya lakini ukija uchaguzi hawa hawa kina Khalifa wanaipigia debe CCM?
Je, masuala ya uteuzi hasa teuzi za wakuu wa mikoa na wilaya si masuala ya kikatiba?
Si katiba ya Warioba kwa mfano ilipinga Rais kuteua wakuu wa wilaya?
Je, kina Khalifa walikuwa wapi kuwashawishi waislam waunge mkono katiba ingine ambayo itaondoa Rais kufanya teuzi na wananchi wakiwemo waislam kuja kuchagua viongozi moja kwa moja?
Nionavyo mimi badala ya kumbembeleza Magufuli au Rais yeyote kuteua wakuu wa wilaya, waislam na wakuu wa mikoa waislam ni bora hizo nafasi ziwe za kuchaguliwa kwa kura na wananchi wachague wanaeona anawafaa.
Suluhisho la madai ya teuzi kwa waislam ni katiba ambayo itawapa wananchi nguvu ya kuchagua wanao wataka ngazi za mikoa na wilaya.
Rais apunguziwe mamlaka ya kuteua watu wengi ambao wengine ndo kama hivyo asilimia 95 ni wa dini yake.
Hivyo ili hilo lifanyike waislam waungane na wote wanaopenda demokrasia kudai katiba mpya ambayo wananchi watakuwa na nguvu na katiba itakayoleta tume huru ya uchaguzi.
Hili la kumlalamikia Magufuli linapaswa kukomeshwa. Nyerere alalamikiwe
na Magufuli pia? Madai yale yale miaka zaidi ya 30?
Waislam hawajifunzi kitu?
kuna picha hapo juu mkuu.Acha porojo
mkuu umesahau tu...lkn hata kikwete alilalamikiwa kwamba anawapendelea waislamu...cjui kuhusu katiba mpya..Sina hakika ninachokiandika kitawafikia wahusika lakini baada ya kuona threads mbili zinazomhusu Sheikh Khalifa akimlaumu Magufuli kwa udini wa kupendelea wakristo wenzie nimeona nichangie kidogo.
Sheikh Khalifa amekuwa akizungumza haya toka wakati wa Mwinyi ndio Rais
cha ajabu alipoingia Kikwete Ikulu sheikh Khalifa akanyamaza kimyaa
kuzungumzia msalahi ya waislam na mara kwa mara alikuwa
akimualika Kikwete msikitini na alishiriki kuwapigia kampeni wote
Mkapa,Kikwete na Magufuli.
Sasa leo anaanza kuongea haya haya aliyo yaongea zaidi ya miaka 20 iliyopita
na watu wanamshangilia.
Maswali ya kujiuliza ni haya?
Je, ni lazima waislam waiunge mkono CCM?
Why kila mara malalamiko haya haya lakini ukija uchaguzi hawa hawa kina Khalifa wanaipigia debe CCM?
Je, masuala ya uteuzi hasa teuzi za wakuu wa mikoa na wilaya si masuala ya kikatiba?
Si katiba ya Warioba kwa mfano ilipinga Rais kuteua wakuu wa wilaya?
Je, kina Khalifa walikuwa wapi kuwashawishi waislam waunge mkono katiba ingine ambayo itaondoa Rais kufanya teuzi na wananchi wakiwemo waislam kuja kuchagua viongozi moja kwa moja?
Nionavyo mimi badala ya kumbembeleza Magufuli au Rais yeyote kuteua wakuu wa wilaya, waislam na wakuu wa mikoa waislam ni bora hizo nafasi ziwe za kuchaguliwa kwa kura na wananchi wachague wanaeona anawafaa.
Suluhisho la madai ya teuzi kwa waislam ni katiba ambayo itawapa wananchi nguvu ya kuchagua wanao wataka ngazi za mikoa na wilaya.
Rais apunguziwe mamlaka ya kuteua watu wengi ambao wengine ndo kama hivyo asilimia 95 ni wa dini yake.
Hivyo ili hilo lifanyike waislam waungane na wote wanaopenda demokrasia kudai katiba mpya ambayo wananchi watakuwa na nguvu na katiba itakayoleta tume huru ya uchaguzi.
Hili la kumlalamikia Magufuli linapaswa kukomeshwa. Nyerere alalamikiwe
na Magufuli pia? Madai yale yale miaka zaidi ya 30?
Waislam hawajifunzi kitu?
Hili ndio hawalielewi.. Yaani mtyu anatoa idadi ya wasomi waislamu. Kama unataka kulinganisha tyoa idadi ya wasomi wakristu na wasomi waislamu. Thenuone ratio ya waislamu na wakristu ndio uopate ulinganifu. Kwa hiyo sheikh aje na listi ya waasomi wakristu pia ndio mjadala uendelee!Ushauri wangu wawekeze kwenye elimu kwa watoto wao tu
Wakiwa na wasomi na wenye sifa watachaguliwa tu
Sina hakika ninachokiandika kitawafikia wahusika lakini baada ya kuona threads mbili zinazomhusu Sheikh Khalifa akimlaumu Magufuli kwa udini wa kupendelea wakristo wenzie nimeona nichangie kidogo.
Sheikh Khalifa amekuwa akizungumza haya toka wakati wa Mwinyi ndio Rais
cha ajabu alipoingia Kikwete Ikulu sheikh Khalifa akanyamaza kimyaa
kuzungumzia msalahi ya waislam na mara kwa mara alikuwa
akimualika Kikwete msikitini na alishiriki kuwapigia kampeni wote
Mkapa,Kikwete na Magufuli.
Sasa leo anaanza kuongea haya haya aliyo yaongea zaidi ya miaka 20 iliyopita
na watu wanamshangilia.
Maswali ya kujiuliza ni haya?
Je, ni lazima waislam waiunge mkono CCM?
Why kila mara malalamiko haya haya lakini ukija uchaguzi hawa hawa kina Khalifa wanaipigia debe CCM?
Je, masuala ya uteuzi hasa teuzi za wakuu wa mikoa na wilaya si masuala ya kikatiba?
Si katiba ya Warioba kwa mfano ilipinga Rais kuteua wakuu wa wilaya?
Je, kina Khalifa walikuwa wapi kuwashawishi waislam waunge mkono katiba ingine ambayo itaondoa Rais kufanya teuzi na wananchi wakiwemo waislam kuja kuchagua viongozi moja kwa moja?
Nionavyo mimi badala ya kumbembeleza Magufuli au Rais yeyote kuteua wakuu wa wilaya, waislam na wakuu wa mikoa waislam ni bora hizo nafasi ziwe za kuchaguliwa kwa kura na wananchi wachague wanaeona anawafaa.
Suluhisho la madai ya teuzi kwa waislam ni katiba ambayo itawapa wananchi nguvu ya kuchagua wanao wataka ngazi za mikoa na wilaya.
Rais apunguziwe mamlaka ya kuteua watu wengi ambao wengine ndo kama hivyo asilimia 95 ni wa dini yake.
Hivyo ili hilo lifanyike waislam waungane na wote wanaopenda demokrasia kudai katiba mpya ambayo wananchi watakuwa na nguvu na katiba itakayoleta tume huru ya uchaguzi.
Hili la kumlalamikia Magufuli linapaswa kukomeshwa. Nyerere alalamikiwe
na Magufuli pia? Madai yale yale miaka zaidi ya 30?
Waislam hawajifunzi kitu?
Mods wekeni option ya ku unlikeJibu ni rahisi tu, hakuna mbadala wa CCM na hicho ndicho kinachowafanya siyo tu Waislamu bali Watanzania wengi tu, haya kwa mfano waitose CCM waende wapi, Chadema kwa Walutheri? Kwa maana hata CUF nayo iko chini ya Walutheri chadema, sasa watakuwa wamefanya nini?
Hivyo CCM ndo Baba ya Tanzania, na pmj na mapungufu yake yote lkn hakuna Chama kinachoweza kusimama na kuaminika kama CCM, hiyo ndiyo sababu ya Muhammedana kuipigia kura CCM!
Tutafika huko......!hao waliochaguliwa ni Sunni ama Shia?
Hata Trump aliambiwa hana sifa tena na viongozi wakubwa wa chama na rais wa nchi take. Unapo sema hawana sifa una maana gani. Hao wenye sifa toka Uhuru wanalalamikiwa ndo wanaja wakristo kwenye nyazifa zote kama nchi haina waislamuUsipoiunga mkono CCM unamuunga nani na vyama vyenyewe vya upinzani ndio hivi ambavyo havina malengo ya kwenda IKULU? Vinaacha Sera zao za msingi, havina wagombea wenye sifa na vimejijenga katika Propaganda rahisi ambazo hata mtoto mdogo atashtuka tu!!!!
Waiyunge vipi katiba mkono? Uliza uwamsho wako wapi? Walihoji kuhusu mchakato wa katiba na muungano, leo hii wako wapi? Wewe huijui ccm? Ukitaka haki nchi hii lazima ujitoe sadaka, kwa maana viongozi hawataki ukweli, hawataki haki, bakwata ipo chini ya ccm ili kuwa control waislam na kuwanyamazishaSina hakika ninachokiandika kitawafikia wahusika lakini baada ya kuona threads mbili zinazomhusu Sheikh Khalifa akimlaumu Magufuli kwa udini wa kupendelea wakristo wenzie nimeona nichangie kidogo.
Sheikh Khalifa amekuwa akizungumza haya toka wakati wa Mwinyi ndio Rais
cha ajabu alipoingia Kikwete Ikulu sheikh Khalifa akanyamaza kimyaa
kuzungumzia msalahi ya waislam na mara kwa mara alikuwa
akimualika Kikwete msikitini na alishiriki kuwapigia kampeni wote
Mkapa,Kikwete na Magufuli.
Sasa leo anaanza kuongea haya haya aliyo yaongea zaidi ya miaka 20 iliyopita
na watu wanamshangilia.
Maswali ya kujiuliza ni haya?
Je, ni lazima waislam waiunge mkono CCM?
Why kila mara malalamiko haya haya lakini ukija uchaguzi hawa hawa kina Khalifa wanaipigia debe CCM?
Je, masuala ya uteuzi hasa teuzi za wakuu wa mikoa na wilaya si masuala ya kikatiba?
Si katiba ya Warioba kwa mfano ilipinga Rais kuteua wakuu wa wilaya?
Je, kina Khalifa walikuwa wapi kuwashawishi waislam waunge mkono katiba ingine ambayo itaondoa Rais kufanya teuzi na wananchi wakiwemo waislam kuja kuchagua viongozi moja kwa moja?
Nionavyo mimi badala ya kumbembeleza Magufuli au Rais yeyote kuteua wakuu wa wilaya, waislam na wakuu wa mikoa waislam ni bora hizo nafasi ziwe za kuchaguliwa kwa kura na wananchi wachague wanaeona anawafaa.
Suluhisho la madai ya teuzi kwa waislam ni katiba ambayo itawapa wananchi nguvu ya kuchagua wanao wataka ngazi za mikoa na wilaya.
Rais apunguziwe mamlaka ya kuteua watu wengi ambao wengine ndo kama hivyo asilimia 95 ni wa dini yake.
Hivyo ili hilo lifanyike waislam waungane na wote wanaopenda demokrasia kudai katiba mpya ambayo wananchi watakuwa na nguvu na katiba itakayoleta tume huru ya uchaguzi.
Hili la kumlalamikia Magufuli linapaswa kukomeshwa. Nyerere alalamikiwe
na Magufuli pia? Madai yale yale miaka zaidi ya 30?
Waislam hawajifunzi kitu?
interesting....