Kwanini Waislam hawajifunzi?

Kwanini Waislam hawajifunzi?

The Boss

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2009
Posts
49,320
Reaction score
117,611
Sina hakika ninachokiandika kitawafikia wahusika lakini baada ya kuona threads mbili zinazomhusu Sheikh Khalifa akimlaumu Magufuli kwa udini wa kupendelea wakristo wenzie nimeona nichangie kidogo.

Sheikh Khalifa amekuwa akizungumza haya toka wakati wa Mwinyi ndio Rais
cha ajabu alipoingia Kikwete Ikulu sheikh Khalifa akanyamaza kimyaa
kuzungumzia msalahi ya waislam na mara kwa mara alikuwa
akimualika Kikwete msikitini na alishiriki kuwapigia kampeni wote
Mkapa,Kikwete na Magufuli.

Sasa leo anaanza kuongea haya haya aliyo yaongea zaidi ya miaka 20 iliyopita
na watu wanamshangilia.

Maswali ya kujiuliza ni haya?

Je, ni lazima waislam waiunge mkono CCM?

Why kila mara malalamiko haya haya lakini ukija uchaguzi hawa hawa kina Khalifa wanaipigia debe CCM?

Je, masuala ya uteuzi hasa teuzi za wakuu wa mikoa na wilaya si masuala ya kikatiba?

Si katiba ya Warioba kwa mfano ilipinga Rais kuteua wakuu wa wilaya?
Je, kina Khalifa walikuwa wapi kuwashawishi waislam waunge mkono katiba ingine ambayo itaondoa Rais kufanya teuzi na wananchi wakiwemo waislam kuja kuchagua viongozi moja kwa moja?

Nionavyo mimi badala ya kumbembeleza Magufuli au Rais yeyote kuteua wakuu wa wilaya, waislam na wakuu wa mikoa waislam ni bora hizo nafasi ziwe za kuchaguliwa kwa kura na wananchi wachague wanaeona anawafaa.

Suluhisho la madai ya teuzi kwa waislam ni katiba ambayo itawapa wananchi nguvu ya kuchagua wanao wataka ngazi za mikoa na wilaya.

Rais apunguziwe mamlaka ya kuteua watu wengi ambao wengine ndo kama hivyo asilimia 95 ni wa dini yake.

Hivyo ili hilo lifanyike waislam waungane na wote wanaopenda demokrasia kudai katiba mpya ambayo wananchi watakuwa na nguvu na katiba itakayoleta tume huru ya uchaguzi.

Hili la kumlalamikia Magufuli linapaswa kukomeshwa. Nyerere alalamikiwe
na Magufuli pia? Madai yale yale miaka zaidi ya 30?

Waislam hawajifunzi kitu?
 
Sina hakika ninachokiandika kitawafikia wahusika lakini baada ya kuona threads mbili
zinazo mhusu Sheikh Khalifa akimlaumu Magufuli kwa udini wa kupendelea wakristo wenzie
nimeona nichangie kidogo....

Sheikh Khalifa amekuwa akizungumza haya toka wakati wa Mwinyi ndo Rais
cha ajabu alipoingia Kikwete Ikulu sheikh Khalifa akanyamaza kimyaa
kuzungumzia msalahi ya waislam...na mara kwa mara alikuwa
akimualika Kikwete msikitini na alishiriki kuwapigia kampeni wote
Mkapa,Kikwete na Magufuli....

Sasa leo anaanza kuongea haya haya aliyo yaongea zaidi ya miaka 20 iliyopita
na watu wanamshangilia.....

maswali ya kujiuliza ni haya?

je ni lazima waislam waiunge mkono CCM?

why kila mara malalamiko haya haya lakini ukija uchaguzi hawa hawa kina Khalifa
wanaipigia debe CCM?

Je masuala ya uteuzi hasa teuzi za wakuu wa mikoa na wilaya...si masuala ya kikatiba?
si katiba ya Warioba kwa mfano ilipinga Rais kuteua wakuu wa wilaya?
je kina Khalifa walikuwa wapi kuwashawishi waislam waunge mkono katiba ingine ambayo
itaondoa Rais kufanya teuzi? na wananchi wakiwemo waislam kuja kuchagua
viongozi moja kwa moja?

Nionavyo mimi badala ya kumbembeleza Magufuli au Rais yeyote kuteua wakuu wa wilaya
waislam na wakuu wa mikoa waislam....ni bora hizo nafasi ziwe za kuchaguliwa kwa kura
na wananchi wachague wanaeona anawafaa....

Suluhisho la madai ya teuzi kwa waislam ni katiba ambayo itawapa wananchi nguvu ya kuchagua wanao wataka ngazi za mikoa na wilaya....

Rais apunguziwe mamlaka ya kuteua watu wengi ambao wengine ndo kama hivyo asilimia 95
ni wa dini yake...........

Hivyo ili hilo lifanyike waislam waungane na wote wanaopenda demokrasia kudai katiba mpya
ambayo wananchi watakuwa na nguvu na katiba itakayoleta tume huru ya uchaguzi...

hili la kumlalamikia Magufuli linapaswa kukomeshwa...Nyerere alalamikiwe
na Magufuli pia? madai yale yale miaka zaidi ya 30?
waislam hawajifunzi kitu?
Usipoiunga mkono CCM unamuunga nani na vyama vyenyewe vya upinzani ndio hivi ambavyo havina malengo ya kwenda IKULU? Vinaacha Sera zao za msingi, havina wagombea wenye sifa na vimejijenga katika Propaganda rahisi ambazo hata mtoto mdogo atashtuka tu!!!!
 
Unapo muunga mkono mgombea basi kwanza yawepo makubaliano
sio unamuunga mkono mgombea halafu unaanza kulialia akishashinda...
 
Jibu ni rahisi tu, hakuna mbadala wa CCM na hicho ndicho kinachowafanya siyo tu Waislamu bali Watanzania wengi tu, haya kwa mfano waitose CCM waende wapi, Chadema kwa Walutheri? Kwa maana hata CUF nayo iko chini ya Walutheri chadema, sasa watakuwa wamefanya nini?

Hivyo CCM ndo Baba ya Tanzania, na pmj na mapungufu yake yote lkn hakuna Chama kinachoweza kusimama na kuaminika kama CCM, hiyo ndiyo sababu ya Muhammedana kuipigia kura CCM!
 
Hatutaki walutheri tunataka wakatholiki.Asante kwa mchango wako.
 
Tatizo ni moja tu baina ya sisi binadamu, ni unafiki wa kuhalalisha mambo kama tu yanaendana na mtazamo na matakwa yetu. Leo thamani ya dini hutoiona kwa maaskofu ama masheikh maana wao pia wamekaa kidunia zaidi kuliko kiMungu. Na ikitokea yeyote atakaesimama kuasa mambo kwa muelekeo halisi wa kidini basi daima atakuwa mchochezi. Kipimo cha kwanza cha mjua dini kweli ni kutoshirikisha imani ya kiroho na kisiasa. Yeyote anaehubiri ubora wa mwingine ama mapungufu kwa kigezo cha siasa basi abadan hatokuwa mtu wa Mungu bali ni mchumia tumbo na muongo. Wote walio majukwaani wakinadi vyama na viongozi hawana tofauti na hao hao wanaowanadi, wote ni wanasiasa tu.
 
Usipoiunga mkono CCM unamuunga nani na vyama vyenyewe vya upinzani ndio hivi ambavyo havina malengo ya kwenda IKULU? Vinaacha Sera zao za msingi, havina wagombea wenye sifa na vimejijenga katika Propaganda rahisi ambazo hata mtoto mdogo atashtuka tu!!!!
Hawa waache tu wanabdilika Kama kinyonga..tukomae tu na Magu hamna namna
 
Waislam siku watakapoacha kutumikia tumbo la mtu mmoja mmoja na kusimama katika haki ndio siku wataheshimiwa na kuthaminiwa , mifano ni mingi mno .

Mytake - sipendi sana mijadala ya kidini , sema wakati mwingine ninalazimika kuchangia .
 
Awamu iliyopita walikuwa wengi hadi kwenye bunge la katiba, lakini kilichokuwa mawazoni mwao ni mahakama ya kadhi.
 
Back
Top Bottom