Lucchese DeCavalcante
JF-Expert Member
- Jan 10, 2009
- 5,471
- 734
Hivi kwanini wadosi wengi wanapenda sana kunywa maji ya madafu binafsi napenda sana kunywa juisi ya dafu maana ni tamu na inakata kiu?
Hebu wataalamu wa hii juisi tuelezeni faida za kunywa hii kitu kiafya ni zipi??
Hebu wataalamu wa hii juisi tuelezeni faida za kunywa hii kitu kiafya ni zipi??