mathematics
JF-Expert Member
- Feb 21, 2012
- 3,323
- 1,105
Nimewahi kuishi mikoa mingi hapa Tz toka nikiwa mdogo Arusha/Dar es salaam etc lakini kwa uchunguzi nimegundua wahindi wao wanaishi mijini tu, mfano kwa wakazi wa hapa Dar es salaam nadhani mnajionea hili, huwezi kwenda Tabata, Kimara, Tegeta, Ubungo, Sinza, Mabibo etc ukakuta wahindi wanaishi huko, wamenunua nyumba au kiwanja wanajenga huko wao ni kkoo/posta/kisutu/upanga
Hivi ni kwanini wao huishi mijini tu na sio kwingineko huko nilipopataja? let us chat
Hivi ni kwanini wao huishi mijini tu na sio kwingineko huko nilipopataja? let us chat