Kwanini wahindi wanaishi mijini tu?

mathematics

JF-Expert Member
Feb 21, 2012
3,323
1,105
Nimewahi kuishi mikoa mingi hapa Tz toka nikiwa mdogo Arusha/Dar es salaam etc lakini kwa uchunguzi nimegundua wahindi wao wanaishi mijini tu, mfano kwa wakazi wa hapa Dar es salaam nadhani mnajionea hili, huwezi kwenda Tabata, Kimara, Tegeta, Ubungo, Sinza, Mabibo etc ukakuta wahindi wanaishi huko, wamenunua nyumba au kiwanja wanajenga huko wao ni kkoo/posta/kisutu/upanga

Hivi ni kwanini wao huishi mijini tu na sio kwingineko huko nilipopataja? let us chat
 
Na kwanini huwezi kukuta askari jeshi au polisi ni Mtanzania mwenye asili ya kihindi?
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom