Kwanini wadada wa kichaga wanadhaniwa kuwa ndio wife material?

Kwanini wadada wa kichaga wanadhaniwa kuwa ndio wife material?

Ushauri wa bure oeni wamachame hao ndo wachaga halisi wengine fake
 
hahhhahaha wanaowasifia hao watakua na matatizo yao.... emh nisiseme sana, hukawii kupgwa ban humu

Ban poa tu kwanini.....! Pia wanasifika sana kwa kuwa wajane hasa baada ya father house kuwa na maendeleo hii imevuma sanaa.
 
nyie ndo mnashika number asijidanganye.... hakuna kitu ka watoto wa green city

Weraweraaaaaa wanyaki huree hahahahahahha (msinichambe jamani mwe mwe mwe)

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Kijana utafiti wako ni uongo mtupu.. Makabila mengine mengi huhofia kuoa wachaga kwa dhana luwa wanawake.wengi wa kichaga huthamin pesa kuliko utu mfn unaweza kuoa mchaga mkishakuwa na mali nyimgi anafikiria kukuua.. Hyo ndo dhana iliyojengeka.. Na utafiti unaonesha kuwa wanawake wengi wa kichaga hasa kutoka machame ni wajane.. Na wana mali nyingi walizorithi kwa waume zao.. Ambapo inatia shaka kuwa huenda waliwaua.. Ninao ushahidi.. Kuna habari ilitikisa mwaka jana ambapo mwanamke wa kichaga alikula njama na majambaz ili amuue mumewe arithi mali.. Dili likastukiwa nadhan yuko jela sasa.....
 
yaani tungepata sample tukaweka hapa ungejikana mwenyewe... nasikia kule ndo mnaongoza kutumia mchina lol!!! cc: charga baiby

Ha ha ha unaweza weka ya kwenu siwezi kujikimbia kwanini sasa hamna cha mchina wala nini inayotumika bana nature tu sema mig..
 
Huku kusini wachaga hawakubariki kabisa wana historia ya kuua waume zao.
 
Ngoja ntafute dd wakichaga nifanye nae biashara nisibitishe hii mada
 
Hivi kuna watu wanaamini bado kwamba furaha inanunuliwa..!?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom