isipokuwa hivi vibinti vya kichaga vilivyo kulia mjini na kujifanya vimeenda shule sana ndio vinatuharibia sifa zetu walizopewa mama na dada zetu wa kichaga,ni kutokana na makuzi na kuchanganyika na jamii nyingine na kuiga yale yakwao tena yalio mabaya ni shahidi wa hilo pia .
kingine ni hawa wazee wao wanakukandia wee kama unataka akumuoa binti yake unatajiwa mahari mpaka unakaa chini na tena wanakuangalia kama ni wakawaida mke hupati, ndio shida nilioiona na kuishuhudia mwenyewe baada ya kunyang'anywa binti mmoja wa kirombo aliekuwa mzuri wa sura na tabia kisa mi sina pesa,ila sijafa moyo nitaenda kuoa nyumbani tu,,. sio hawa wanawake wakiluguru mtoto mdogo ameshatembea na wanaume kumi, kaah! wacha wachaga tuitwe wachaga binti wa miaka 28 bado bikra,utampata wapi tena nchi hii kama sio wakichaga?.