Kwanini wadada mnapenda kongelea watu

Kwanini wadada mnapenda kongelea watu

Mleta mada umekosea wanaume wa siku hizi ni wambea kuliko wanawake wamezidi kila kitu sema tofauti ni biological make up tu
 
Mleta mada umekosea wanaume wa siku hizi ni wambea kuliko wanawake wamezidi kila kitu sema tofauti ni biological make up tu

sisi ni mpira,kazi na kusaka hela na kuwajali ila ninyi mmh mmezidi perepere kila kona
 
Mwenyewe unaonekana una mdomo sana umefanyaje ukajua wadada wanasema sana?

huwa kuna a place naenda some drinks huku nasurf my business protocols pembeni kuna saloon ila huwa wanaka nje as a mob is like mwone yule,mwangalie yule,jana jirani kafanya hivi,flani kavaa vle,mme wake bana,hivi watoto wake
 
uwe unaweka earplag bas...............................
 
Back
Top Bottom