wadada wa wapi unaowasema
Unawaonea wadada siku izi 50/50 na vidume wanapiga midomo kama kawa
Na wewe umekuja kuwaongelea hapa
hahahahahaaha yeye mtoa habari
huu ni upungufu wa kufiri kichwani,everyplace ni umbeya tu logically hawana kazi zaidi ya kuchunguzana
badilikeni jitambueni mda umekwisha
wanaume ndio wanaonga kwa umbea siku hizi, waacheni dadaz wapumuwe.
wanaume ndio wanaonga kwa umbea siku hizi, waacheni dadaz wapumuwe.
umeona eeeeh hata wewe katika hiyo50 sikutoi
wanaume ndio wanaonga kwa umbea siku hizi, waacheni dadaz wapumuwe.
50/50 I ment haki sawa..usintoe tu nduhu tabu
nduhu ni lugha gani hiyo
kama wewe unachonga sana jombaa
Lugha ya Taifa la Mwanza & shy, nduhu tabu (no problem)
anhaaa sawa lakini mwanza imejitenga lini hadi kuwa taifa
Lugha next to swahili hiyo mama!!