Kwanini wadada hawataki kuambiwa wamenenepa?

Kwanini wadada hawataki kuambiwa wamenenepa?

Zamani walikuwa wanafurahi sana. Kumbe siku hizi ni tatizo??!!
 
Hawataki kuitwa VIBONGE wakati ni ndio umbo lake wajikubari tuu kuwa ni vibonge japo wanachukia kweli ukiwaita hivo.!
 
Te te te...mwenzio yuko kwenye diet afu wewe unaleta matani...
Wadada wengi mujini wako kwenye diet and the only thing they want to hear (hata kama ni uongo) ni umepungua...

Nilikuwa na office mate kila siku anauliza kama amepungua or not...na kwa kuwa tulikuwa tunajua jibu analotaka....hatukuwa na ugomvi nae...though ukimwangalia huoni difference...

Haha ha
 
Ni jamii inavyochukulia tu, yaani kuna maneno/semi ambazo ukisema inaonekana waajabu katika jamii.

Mfano, ni sawa kumwambia mwanaume kuwa amenenepa ila si sawa kumwambia mwanamke au ni sawa kumwambia mwanamke una mvuto hata kama hana au ni mnene"
 
Habari za mchana,

Ni jambo naomba kuwauliza wadada, Kwanini mtu akikwambia siku hizi umenenepa sana unakasarika? Juzi kuna mdada nimemwambia umenenepa akamind sana.

Jamani we don't want to look old, Lol aaaahhhhaaaaaaaaa, mtusamehe bure tuu, we want to be young forever aaaahhhhaaaaaaaa! Thanks!
 
Wamezoea kudanganywa hao...

Siku nyingine umwambie tu ana mwili mzuri na kipotabo hata kama unajua ni kifutu kama pipa...
 
Habari za mchana,

Ni jambo naomba kuwauliza wadada, Kwanini mtu akikwambia siku hizi umenenepa sana unakasarika? Juzi kuna mdada nimemwambia umenenepa akamind sana.

Dah... Mie nikikutana na mtu akanambia nimenenepa nafurahi kinyama, make mara kibao watu hunambia nimekonda!
 
Habari za mchana,

Ni jambo naomba kuwauliza wadada, Kwanini mtu akikwambia siku hizi umenenepa sana unakasarika? Juzi kuna mdada nimemwambia umenenepa akamind sana.

Hazimtoshii
 
duh mi nikiambiwa nimenenepa nanuna coz ubonge nyanya sio ishu mvuto unakuwa f na magonjwa kibao
 
Back
Top Bottom