Kwanini Wachagga wa Kishumundu wananyanyapaliwa?

Nazjaz

JF-Expert Member
Jan 20, 2011
7,684
8,832
Ndugu sangu Wachagga acheni unyanyapaaji, nji hii ni ya wote acheni kuwabeza ndugu sangu wa Kishumundu.
 
zamani kishumundu ilikua ya kishamba hata wakazi wake walikua hawajui lami wala magari,na wakifika kwenye lami wanavua via2
 
Nasikia walisha wahi kuikimbia ile sanamu ya askari aliye shika bunduki.

Kuna mwingine aliwahi bahatika kufika Daresalama, na kuona meli. Aliporudi kwao akaadithia kuwa wakazi wa daresalama wameendelea sana mpaka wanajenga nyumba zenye kutembea baharin...!
 
Kuna yule aliyetoa kali, baada ya kumuona mwenzake aliyetoka mjini anakwenda kujisaidia migombani na kopo la maji, akamuuliza kama atakawia sana uko kwenye kujisaidia mpaka atasikia kiu, sasa akamshauri bora angekwenda na debe la mbege.

Mwenzie akamjibu kuwa yale maji ni kwa ajili ya kupiga mata... mata ko deki.
 
zamani kishumundu ilikua ya kishamba hata wakazi wake walikua hawajui lami wala magari,na wakifika kwenye lami wanavua via2

Loh..!!mathikini wachaga,...heri thithi wapare,baba yetu MTHUYA katukomboa kwa kutengenedha magari kwa jina lake(D.C.M-yaani DEVID CLEOPA MSUYA)tehetehetehe.......kwi kwi kwi kwi....!!!!
 
Nasikia walisha wahi kuikimbia ile sanamu ya askari aliye shika bunduki.

Kuna mwingine aliwahi bahatika kufika Daresalama, na kuona meli. Aliporudi kwao akaadithia kuwa wakazi wa daresalama wameendelea sana mpaka wanajenga nyumba zenye kutembea baharin...!

hahahahhhahhahha kweli unaujua utani
 
kishumundu huko kwa BOB MLAY eti ndo bob marley ndo maana wanapenda sana reggae!
 
Back
Top Bottom