Kwanini Waandishi wa Habari na Maafisa Habari wengi hivi sasa Wanafurahia Gerson Msigwa kutolewa kuwa Msemaji Mkuu wa Serikali?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,651
109,049
Nipo katika Magrupu yao wote ( Wana Habari na Maafisa Habari ) ya WhatsApp na Vijembe vinavyoendelea huko si vya nchi hii huku Wengine kila Nikichati nao tu wananijibu kwa Furaha huku wakisema Mnafiki, wa Kujipendekeza na Misifa anaelekea Ukingoni na ameshapatikana.

Sijui kuanzia sasa GENTAMYCINE nitaendelea kumuona Mtu akifanya Mazoezi yake ya Kukimbia Kishamba na kwa kutafuta Sifa Juu ya Daraja la Tanzanite huku Akimsifia Mama au yote haya baada ya Reshuffle ya muda mfupi uliopita.
 
Cheo ni dhamana mkuu!
 
Back
Top Bottom