kwisha
JF-Expert Member
- Sep 9, 2021
- 1,666
- 4,365
Kuna kitu nimejifunza katika maisha yetu sisi wa Afrika na nimepata jibu kwanini sisi ni maskini
First one sisi wa Afrika atupatiane support
Second one sisi wa Afrika tuna wivu sana
Unaweza mkuta mtu anaogapa kumfanyia jirani yake kitu fulani eti akimpa atafanikiwa ni bora akampe mtu mwingine support ambaye awezi msaidia kuliko kumpa jirani yake ambaye akifanikiwa
Mfano akijenga kiwanda ili naye siku moja akapate kazi apo yeye anaona wivu kwa style hii atuwezi endelea tutabaki kuwa nyuma siku zote
Mwaka jana nilitembelea TZ Dar es Salaam nilichokiona kiliniuzunisha saana
Kulikuwa na mdada fulani ambaye alikuwa anauza biashara vyake pale kuna wateja wengi walikuwa wanakuja wengi walikuwa wana sema ana BEI Saana mpaka alikuwa na lazimika kuuza kwa bei ya asara ili mradi tu asikose kidogo ya cha kula usiku
Siku moja nikamuuliza ivi unapataga faida katika ivi biashara vyako? Akaniambia ikitokea Bahati nzuri anapataga ila Mara nyingi wao wanafanya biashara ili wapete tu pesa za kuwalisha watoto wao Wala si kwa mahendeleo yao hicho kitu kili ni uzunisha unaweza je kumlinganisha mfanya biashara mdogo na mkubwa?
Eti waweke bei sawasawa hiyo ni tatizo
Sisi wa teja wa kawaida tusapoti wa Fanya biashara wa dogo ili nao kesho wa sapoti wa fanya biashara wa kubwa wewe ukimnunulia kitu chake leo kesho naye atamnunulia mfanya biashara mkubwa
Lakini unaweza kuta mtu ana ogopa kununua hata pipi kwa mfanya biashara mdogo eti ana bei anaenda moja kwa moja kwa mfanyabiashara ukubwa akanunue pipi ya BEI chini bro's mnategemea hawa wafanyabiashara wadogo nani atawafanya kuwa wa kubwa kama sisi
Na sasa hivi kumesha kuwa na upumbavu wa wafanya biashara kila mfanya biashara amesha kuwa Na wateja wake kitu ambacho kina waumiza wanaoanza biashara
Utakuta mtu anatoka Dar anaenda Dodoma kununua tu mchele wa kula eti Dar kuna bei sana unategemea hwa wa dar wakanunuliwe na nani kama sio wewe?
Mfano mimi nikiwa Rais naweza funga upambavu huo ili kila mkoa wafanyabiashara vyao iwe bei kali isiwe bei kali ivyo vitakuangalia ni wewe tu kutoa sapoti ili wenzako wa endelee ukitaka kufanya biashara vya Dili kubwa apo ndipo una weza ruhusiwa kufanya biashara katika mikoa mwingine
Katika inch yangu ya asili DRC kwenye mkoa wangu sasa ivi wananishukuru vijana wanaendelea wengine wanafanya biashara kwa mawazo yangu na support yangu ndogo tu
I trust Afrika we can -- when we give support to each other.