mzalendo iq1
JF-Expert Member
- Mar 10, 2020
- 1,257
- 1,543
Kwanini vyama vyingi vinataka Chadema ife?
Mwaka huu ni mwaka wa uchaguzi na kila chama kina haki ya kushiriki uchaguzi
Kila chama kina haki ya kusimamisha wagombea
Swali ni je, kwanini vyama vyingi badala ya kutaka CCM iondoke madarakani vinataka chadema ndio ife?
Ukifanya utafiti usio rasmi utagundua CUF, NCCR, TLP na baadhi ya vyama viko tayari CCM iendelee kubaki madarani kuliko CHADEMA kupata wabunge wengi au kushika dola. Je, vyama vyingine vya upinzani kutaka CHADEMA ife lkn CCM ibaki madarakani viko sahihi?
Na kwanini unafikiri vinatamani CHADEMA ife?
Kama ndivyo kwanini asipendwe nawana CCM au cuf au nccr maana Kama lengo nikuiua chadema CCM isingetamani hata auache uwenyekiti hii ningumu kuitengenezea muvi niswali gumu Sana Hilo wenye hekima huamua kukaa kimyaMbowe ndie anataka chadema ife ili asiwepo wa kuhoji matumizi ya ruzuku na michango ya bilioni nane alizotafuna
Anajua kikifa Hakuna was kuhoji anaingia zake mitini kimya kimya kusitafuna
Tunashukuru Takukuru kumuwahi na kugundua ujanja wake
Mbowe anatamani chadema ife hata leo
Hivyo ni vitengo vya CCM vya kuhujumu upinzani wa kweliKwanini vyama vyingi vinataka Chadema ife?
Mwaka huu ni mwaka wa uchaguzi na kila chama kina haki ya kushiriki uchaguzi
Kila chama kina haki ya kusimamisha wagombea
Swali ni je, kwanini vyama vyingi badala ya kutaka CCM iondoke madarakani vinataka chadema ndio ife?
Ukifanya utafiti usio rasmi utagundua CUF, NCCR, TLP na baadhi ya vyama viko tayari CCM iendelee kubaki madarani kuliko CHADEMA kupata wabunge wengi au kushika dola. Je, vyama vyingine vya upinzani kutaka CHADEMA ife lkn CCM ibaki madarakani viko sahihi?
Na kwanini unafikiri vinatamani CHADEMA ife?
Ni sawa uwe na mgonjwa aliyekaa muda mrefu ICU, kuna wakati unaweza ukamuomba mungu amchukue ili kumpunguzia mateso.Kwanini vyama vyingi vinataka Chadema ife?
Mwaka huu ni mwaka wa uchaguzi na kila chama kina haki ya kushiriki uchaguzi
Kila chama kina haki ya kusimamisha wagombea
Swali ni je, kwanini vyama vyingi badala ya kutaka CCM iondoke madarakani vinataka chadema ndio ife?
Ukifanya utafiti usio rasmi utagundua CUF, NCCR, TLP na baadhi ya vyama viko tayari CCM iendelee kubaki madarani kuliko CHADEMA kupata wabunge wengi au kushika dola. Je, vyama vyingine vya upinzani kutaka CHADEMA ife lkn CCM ibaki madarakani viko sahihi?
Na kwanini unafikiri vinatamani CHADEMA ife?
We jamaa una muda mwingi sana wa kuandika upumbavu, chadema haiwaz majengo, hayo ni sehemu ndogo sana kwenye kujenga itikadi inayojal utu na maendeleo ya watu, Kila ukiandika mbowe, mbowe, hivi ni kiongoz yupi aliyeifanya hyo chadema ikawa chama kikuu cha upinzani, kitu ambacho unakijua na ndo mana mnapambana na Mbowe ni kuwa si lengo la chadema kuwa chama kikuu cha upinzani, lengo la chadema ni kuwa chama tawala na hlo mnalijua ndo mana mnaweweseka, mnawa ahid nccr kuwa chama kikuu cha upinzan kwa kuitoa chadema as if nyie mataga ndo mliwapa chadema na sasa mnataka kuitoaHivi ushauri wa kujenga Makao makuu ya Chadema Dodoma hayakua ya maana kweli?
Tuache siasa za chuki na kutothaminiana.
Ndio maana Mbowe hathamini michango ya hali na Mali ya wabunge wenzake. Anaongelea yeye tu kuwa nimefungwa,nimetoa Mali zangu,nimefilisiwa na kila kitu kwa kujionea huruma yeye tu na kuona kuwa fidia yake ni kukalia kiti. Anasahau wenzake wamumizwa na wamepata nafasi zao kwa dhiki kubwa tofauti na yeye aliyerithishwa utajiri na hata Chama.
Alipaswa kuwasikiliza na kuwapa wenzake nafasi pia baada ya yeye kupata nafasi na muda wake wa miaka kumi kuisha. Huo ndio uungwana .
Mandela alifungwa miaka 27 lakini alipopata urais aliamua kungatuka baada ya awamu moja tu...
Hatuwezi kufurahia mpumbavu anauyeharibu kazi iliyofanywa na watanzania wenye akili na busara kwa miaka zaidi ya 28 .
Mnajipofusha macho kwa sababu ya mlevi mmoja wa uenyekiti ,pombe, wanawake na msanii anayeua chama kilichojengwa na wasomi kama akina Dr. Slaa.
Lowasa na Sumaye wamepoteza rasilimali zao nyingi na walikua na watu wengi ndani na nje ya dola ,Mbowe akadhani yeye ndiye aliyeiweka Chadema . Akawafukuza wale wote waliotoka CCM wakiwa na kundi kubwa la watu .Bila aibu ametimua wasomi wote na Chama kimebaki bila watu wenye uwezo wa hata kuongoza kijiji .
Mtakuja kunielewa baada ya Uchaguzi Mbowe atakapobaki na Ofisi ya kupanga na kurudi kwenye enzi za kuchangishana kodi ndipo kila mtu atakapokimbia...
Wakitupa mikopo ni wafadhiri wakitunyima mabeberu du Tanzania utaipendaKwasababu Chadema wanatumika na Mabeberu
Ni hatari kwa Nchi yetu
Mkuu hebu azima akili hata za mtu mwingine Maana kwa akili zako ndio maana umeandika upupu,Mbowe ndio anazuia mikutano,anawakamata viongozi wake na yeye,anajifungulia kesi ya kumuua akwilina ,anajipiga faini kisutu anajipeleka segerea[emoji1787][emoji1787]Anayeiua Chadema ni Mbowe. Huyu kiumbe mkabila na mfanyabiashara wa kisiasa anaonekana wazi amepewa au ameahidiwa mpunga mrefu sana ili kuhakikisha Tanzania haipati Chama chenye Demokrasia na kushika Dola.
Tukiacha ushabiki tukamtafakari Mbowe vizuri na wenyeviti wenzake tutapata jibu na ama kuwatimua kwa marungu na mawe toka kwenye Ofisi za vyama vya watanzania na kuweka katiba bora zinazojenga vyama kitaasisi sio vyama vya mtu binafsi.
Nimemsikiliza vizuri Kibajaji Bungeni nikagundua kuwa yule jamaa anaipenda sana Chadema na anaumia sana anavyoona jinsi Mbowe anavyoiua kwa manufaa yake...
Soma kwa umakini aya ya mwisho katika maelezo yangu utapata jibu la swali lako. Hata hivyo maneno yangu hayawakilishi msimamo wa vyama husika kuhusu CDM bali ni maoni yangu.Sina shaka na maelezo yako mazuri na yanayojitosheleza. Tuje kwenye kile kinachoonekana hivi sasa ili tujiridhishe na maelezo yako. Je kwa hivi sasa CUF au NCCR wanaitazama cdm na ccm kama maadui wao?
Kwa hiyo unaamini kuwa Mbowe ni mpinzani?We jamaa una muda mwingi sana wa kuandika upumbavu, chadema haiwaz majengo, hayo ni sehemu ndogo sana kwenye kujenga itikadi inayojal utu na maendeleo ya watu, Kila ukiandika mbowe, mbowe, hivi ni kiongoz yupi aliyeifanya hyo chadema ikawa chama kikuu cha upinzani, kitu ambacho unakijua na ndo mana mnapambana na Mbowe ni kuwa si lengo la chadema kuwa chama kikuu cha upinzani, lengo la chadema ni kuwa chama tawala na hlo mnalijua ndo mana mnaweweseka, mnawa ahid nccr kuwa chama kikuu cha upinzan kwa kuitoa chadema as if nyie mataga ndo mliwapa chadema na sasa mnataka kuitoa
Nccr walivyo wapumbavu wameingia mkenge ati watapewa nafaa ya kuwa chama kikuu cha upinzan, ccm ndo wanagawa hyo nafas kwa wamtakaye??
Hoja zipi alizonazo Mbowe zaidi ya kejeli.Maelezo mareefu, lakini hakuna la maana.
Nyie ndiyo mmeshika Dola na mihimili yote. Kama Mbowe ana matatizo lukuki kama unavyotaka kutuaminisha mmeshindwa nini kumchukulia hatua za kisheria?
Kitu ambacho kinaonekana wazi ni kuwa hamwezi kushindana na Mbowe kwa hoja. Ndiyo maana mmeamua kutumia shari.
Hutanielewa lakini wanaonielewa wote wanakimbia hicho chama na kujiunga na vyama vingine. Sababu kubwa sio Serikali Bali ni Mbowe watu hawamtaki kabisa hasa viongozi wenzake.Mkuu hebu azima akili hata za mtu mwingine Maana kwa akili zako ndio maana umeandika upupu,Mbowe ndio anazuia mikutano,anawakamata viongozi wake na yeye,anajifungulia kesi ya kumuua akwilina ,anajipiga faini kisutu anajipeleka segerea[emoji1787][emoji1787]
Kwa hiyo unaamini kuwa Mbowe ni mpinzani?
Mbowe ni MTU anayewaza nafsi yake ile Raha tuu hawazi shida za watanzania.
Magufuli amekuja kufuta mafisadi wote na vyama vya kifisadi kama chama cha Mbowe.
Mbowe ni mwizi anatestahili kufungwa gerezani sio kukaa Hospitalini .
Ameharibu mwelekeo mzima wa Demokrasia Tanzania.
Mwakani tutaelewana tu.
Hatuwezi kutumia uovu wa MTU mwingine yeyote kujenga mfumo mwingine mbaya zaidi.Yesu wenu apige marufuku vyama vya upinzan kufanya siasa asimgizie Mbowe
Yesu wenu ainjinie kununua wabunge na viongoz wa vyama vya upinzan unasema Mbowe
Yesu wenu aongoze kupotea ka akina Ben Saanane, Kanguye, kuteka watu na kuua mseme Mbowe