Kwanini vyama vingi vinataka CHADEMA ife?

CCM na vyama vingine vingi ikitikadi ya mlengo kushoto(left wing). Chadema ni mrengo kuria(Right wing). CCM,ACT,NCCCR ( vyama vya kijamaa). Chadema(vyama vya convervative,Patrotical kibepari).
 

Kitakacho athiri cdm kwenye uchaguzi mkuu, ni chuki binafsi ya Magufuli dhidi vya cdm inayokubalika. Usitake kuleta upotoshaji wa wazi. Kama cdm haukubaliki kwa wananchi, CCM ilijitangaza washindi chaguzi za marudio kwa mtindo upi?

Uchaguzi wa SM za mitaa ccm aliwashinda cdm kwa kura ngapi? Usilite sababu za kuchomekea kuficha ukweli,, wakati uhalisia tunaujua boss.
 

Wamegundua kuwa chadema kwenye matumizi ya rasilimali fedha ni muchwa hivyo nchi inaweza kusimama kama watakuwa madalakani
 
Kwanini vyama vyingi vinataka chadema ife?

Mwaka huu ni mwaka wa uchaguzi na kila chama kina haki ya kushiriki uchaguzi

Kila chama kina haki ya kusimamisha wagombea...
Chadema ni mkombozi wa kweli wa watanzania. Ndio maana ccm beberu na wake zake hawaachi kuisimanga
 
wanapinga kila aina ya maendeleo wanasifia maandamano na fujo
 
Vp Anna Ngwira atagombea tena urais?
 
Baada ya mapenzi kinacho fuata kupendwa zaidi na watanzania ni chadema.

Hata hapa JF hivi vitu viwili vinatajwa sana.
Ongezea na kigogo pia yumo japo hapa jf hatajwi sana[emoji3][emoji3]
 
Vp Anna Ngwira atagombea tena urais?
Rais yupo na anafanya mambo mazuri mengi kwa manufaa ya Tanzania na Dunia nzima.

Tujikite kwenye Ubunge na udiwani na namna ya kupunguza nguvu ya CCM bungeni.
Chadema wanapoteza muda kuhangaika na Magufuli wakati wanajua wazi kabisa kuwa hawawezi kumshinda kwa awamu hii ya pili mana amjizoelea umaarufu dunia nzima.
 
Ndio chama tishio si unona wameshindwa siasa za ustaarabu sasa wanatumia nguvu na vitisho. CDM tishio.
 

Kama Mbowe anaiua Chadema nyie mnahangaika nini sasa? Si mngefurahi na kushangilia kuwa anawarahisishia kazi?!
 
Kama Mbowe anaiua Chadema nyie mnahangaika nini sasa?!
Si mngefurahi na kushangilia kuwa anawarahisishia kazi?!
Hatuwezi kufurahia mpumbavu anauyeharibu kazi iliyofanywa na watanzania wenye akili na busara kwa miaka zaidi ya 28 .
Mnajipofusha macho kwa sababu ya mlevi mmoja wa uenyekiti ,pombe, wanawake na msanii anayeua chama kilichojengwa na wasomi kama akina Dr. Slaa.
Lowasa na Sumaye wamepoteza rasilimali zao nyingi na walikua na watu wengi ndani na nje ya dola ,Mbowe akadhani yeye ndiye aliyeiweka Chadema . Akawafukuza wale wote waliotoka CCM wakiwa na kundi kubwa la watu .Bila aibu ametimua wasomi wote na Chama kimebaki bila watu wenye uwezo wa hata kuongoza kijiji .

Mtakuja kunielewa baada ya Uchaguzi Mbowe atakapobaki na Ofisi ya kupanga na kurudi kwenye enzi za kuchangishana kodi ndipo kila mtu atakapokimbia .

Mbowe anapaswa kufungwa na hata kunyongwa kwa uuaji mkubwa aliousababisha kutokana na vijana wengi waliopoteza maisha yao wakipigania Chama kama Taasisi kumbe aliwatapeli na kugauza chama kuwa Mali binafsi.

Chama kimejengwa kwa misingi ya damu ya vijana wetu halafu nyie mnaleta masihara.
Subirini uchaguzi upite. Ofisi za Chadema zitafungwa na chama kitapotea na Mbowe ataishia jela. Amechangisha watu pesa na kujilipa madeni hewa.
Leo anatuona wajinga kwa kujiangusha kwa ulevi na kutangaza kuwa ameshambuliwa.
Wamshambulie ili iweje mtu ambaye hata akigombea uenyekiti wa kijiji pale Dodoma hawezi kupata kura zadi ya kumi.
Mbowe anawadanganya wasiojitambua na wale wanaomshabikia kwa sababu ya ukabila tuu lakini ni mtu aliyeua Sana Demokrasia ndani ya Chama kilichojitangaza kuwa ni chama cha kidemokrasia.

2021 Ruzuku za vyama ni muhimu sana zifutiliwe Mbali. Hatuwezi kulipa Kodi zetu kuwapa wapinga maendeleo na wasemaji wa midomo tuu majukwaani. Bora ruzuku zipelekwa kwenye taasisi za kidini zinazotoa Elimu na Afya lakini sio kuwapa Ruzuku waropokaji na wauaji wa maandamano yasiyo na tija zaidi ya Uchochezi.

Vyama vijiendeshe kwa Fedha za wanachama na miradi yao wenyewe.

Hakuna Chama Tawala duniani kinachoweza kujiwekea mazingira ya kushindwa hivyo kutegemea Huruma ya CCM ili Chadema ishinde ni upuuzu mtupu.
Mbowe asipotimuliwa ndani ya Chadema hakuna mtu nje ya kabila lake atakayeungana naye labda kwenye pombe tu mana pombe hainaga adui.


Muagizie Mbowe Konyagi nyingine.
 
Hilo ni takwa la kikatiba. Jitambue
 

Sina shaka na maelezo yako mazuri na yanayojitosheleza. Tuje kwenye kile kinachoonekana hivi sasa ili tujiridhishe na maelezo yako. Je kwa hivi sasa CUF au NCCR wanaitazama cdm na ccm kama maadui wao?
 

Umeongea maneno mengi mazuri na kwa hasira kubwa, ila hitimisho lake imeonekana ukweli wako umejikita kwenye chuki binafsi zaidi.
 
Jamani woga wa nini mpaka mnadiriki kumshambulia Mbowe?? Chadema is there to stay. I am not Chadema or CCM member but uonevu wa chadema from ccm and gov is too much for any voter to swallow! Lissu now Mbowe and then who else? Enough is enough!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…