Unajua fika, na ndio ulio ukweli, kuwa uchu wa madaraka kwa viongozi wa kisiasa, hasa nchi za dunia ya tatu, siyo tu kwamba ni chanzo cha uvunjifu wa amani katika hizo nchi, pia ndio chimbuko la migogoro ndani ya vyama vya siasa na hata michezo. Migogoro hiyo hutiwa chumvi zaidi na matumizi mabaya ya mali za vyama.Unawezaje kupambana na adui dhaifu kama ulivyoainisha na kushindwa kummaliza kwa miaka >28 na bado hauchoki?Hapo dhaifu ni nani?
Hamwezi kuishinda imani waliyonayo Watanzania kwa CDM kirahisi.Ni kwa kuwa hatuwezi kuambiwa lakini Nina uhakika gharama ya kuiangamiza CDM ni kuwa sana=Ufisadi wa Mali ya CCM na Taifa.Nadhani sehemu kubwa ya mapato halali na haramu ya CCM yanaenda kwenye hiyo project ya muda Mrefu ya kuiua CDM.
Pathetic reasoning and decision on Democratic Process.
Chadema ni wasaliti wa Taifa, wabaguzi, watapeli na wahuniKwanini vyama vyingi vinataka chadema ife?
Mwaka huu ni mwaka wa uchaguzi na kila chama kina haki ya kushiriki uchaguzi
Kila chama kina haki ya kusimamisha wagombea
Swali,ni je, kwanini vyama vyingi badala ya kutaka ccm iondoke madarakani vinataka chadema ndio ife?
Ukifanya utafiti usio rasmi utagundua cuf,nccr tlp na baadhi ya vyama viko tayari ccm iendelee kubaki madarani kuliko chadema kupata wabunge wengi au kushika dola,je vyama vyingine vya upinzani kutaka chadema ife lkn ccm ibaki madarakani viko sahihi?na kwanini unafikiri vinatamani chadema ife?
Ufisadi ndani ya CDM mtuhumiwa No.1 ni Mwenyekiti Mbowe ila kwa wanaofisadi Mali za CCM mtuhumiwa siyo Mwenyekiti wake ni asiyejulikana na hatatajwa milele.IPO wapi ripoti ya kamati ya Bashiru? Pia utambue kuwa Mimi simshabikii Mbowe wala mwizi yeyote.Unajua fika, na ndio ulio ukweli, kuwa uchu wa madaraka kwa viongozi wa kisiasa, hasa nchi za dunia ya tatu, siyo tu kwamba ni chanzo cha uvunjifu wa amani katika hizo nchi, pia ndio chimbuko la migogoro ndani ya vyama vya siasa na hata michezo. Migogoro hiyo hutiwa chumvi zaidi na matumizi mabaya ya mali za vyama.
Kwa sababu kuu hizo, ni mtazamo finyu na hafifu kuendeleza fikra kwamba adui mkubwa wa CHADEMA yuko nje ya chama. Ni matatizo kiuongozi ndani ya vyama ya kutaka kuwa na madaraka makubwa ili kiongozi awe na nguvu ya maamuzi ya juu rasmali zake. Kwa Tanzania kuna mifano hai ikuhusu NCCR-Mageuzi, CUF na sasa CHADEMA inanyemelewa kumeguka na mzimu huohuo...
Hao mnaowaita Wafadhili/Wahisani au wadau wa maendeleo?CHADEMA na ACT WAZALENDO wote wanatumika na wazungu sana
Kwa hiyo nae CAG mpya muongo?Mbowe ndie anataka chadema ife ili asiwepo wa kuhoji matumizi ya ruzuku na michango ya bilioni nane alizotafuna
Anajua kikifa Hakuna was kuhoji anaingia zake mitini kimya kimya kusitafuna
Tunashukuru Takukuru kumuwahi na kugundua ujanja wake
Mbowe anatamani chadema ife hata leo
Kwa nini mnapenda kudanganya na kujidanganya ati []CHADEMA ipo mioyoni mwa watu[], wa nani? Chama chochote ni wanachana ambao ni watu wenye mitazamo, mahitaji na nia tofauti.Chadema inapendwa sana, tena bila sababu. Kwanza yale mavazi yao nikiyaona huwa nachanganyikiwa.
Nikisikiliza hoja zao bungeni, looh!
Chadema ipo mioyoni mwa watu. Haifi.
Mbona unateseka.Kwa nini mnapenda kudanganya na kujidanganya ati []CHADEMA ipo mioyoni mwa watu[], wa nani? Chama chochote ni wanachana ambao ni watu wenye mitazamo, mahitaji na nia tofauti.
Mnasahau au mnadharau ukweli kwamba viongozi wana watu nyuma yao. Wanapohama chama na wengi wa wafuasi wao pia hukihama chama. Fanya hesabu ifuatayo, kujua idadi ya watu CHADEMA inapoteza kwa kuhamwa na kila:-
1) Mbuge x (Wanachama + wafuasi) kwenye jimbo
2) Diwani x (Wanachama + wafuasi) kwenye kata
Naamini idadi hiyo ni dhahiri itaathiri mategemeo ya CHADEMA kufanya vizuri kwenye Uchaguzi Mkuu mwaka huu, ikizingatiwa wanaohama wanatoka kwa kulaumu uongozi na tuhuma dhidi ya M/kiti. Ikumbukwe pia hao wanachama na wafuasi pia wanao wafuasi wao na hao pia wana wafuasi.
SIO KWELI. MPANGO WA 2015 ULIPANGWA KUIANGAMIZA CHADEMAHakuna chama kinataka CHADEMA kife ila, kwa mujibu wa viongozi wanaokihama, chama kimeonesha kina:
• uongozi dhaifu;
• viongozi wasaliti;
• viongozi waoga;
• viongozi wasiojitambua;
• ufisadi wa mali ya chama usiothibitiwa; na
• kikundi cha viongozi, wanachama na wafuasi wasio na adabu, wao lugha ya matusi imekuwa ndiyo sifa moja kuu na imefanywa pia moja ya itikadi ya chama.
Vyama mamlukiKwanini vyama vyingi vinataka chadema ife?
Mwaka huu ni mwaka wa uchaguzi na kila chama kina haki ya kushiriki uchaguzi
Kila chama kina haki ya kusimamisha wagombea
Swali,ni je, kwanini vyama vyingi badala ya kutaka ccm iondoke madarakani vinataka chadema ndio ife?
Ukifanya utafiti usio rasmi utagundua CUF, NCCR, TLP na baadhi ya vyama viko tayari CCM iendelee kubaki madarani kuliko CHADEMA kupata wabunge wengi au kushika dola. Je, vyama vyingine vya upinzani kutaka CHADEMA ife lkn CCM ibaki madarakani viko sahihi?
Na kwanini unafikiri vinatamani CHADEMA ife?
Ccm wameifilisi nchiHuu ukweli unapigwa vita kwa nguvu zote.
Kuna Kisacoss Fulani kwenye Eneo Fulani kilikua kinaitwa Talanta. Kilikua kinawanachama wasio na elimu ya kutosha lakini kiliongozwa na wasomi na wajanja wajanja wa kuwashawishi wakulima na wafanyabiashara wadogo wadogo na hata wa kati kujiunga. Kikafanikiwa sana. Baadae viongozi wake na mhasibu wao walianza kujichukulia fedha na kuanzisha miradi yao binafsi na kujitajirisha huku wakiwaaminisha watu kuwa kuna wanachama hawajarudisha marejesho ya mikopo yao na pia watu hawatoi michango yao. Wakati huo wao wanazidi kuneemeka na wakawa wanawaziba midomo wale walikua wanahoji kuhusu mgao wa hisa zao na faida ya sacoss yao. Ulafi wa viongozi ndio ulioua ushirika wao .Mwishowe Saccos ikafa na sasa wana mgogoro mkubwa upo kwa mkuu wa Wilaya.