Kwanini viumbe vingi vina macho?

Naamini katika evolution inayotokana na mabadiliko ya mazingira wanamoishi viumbe, mabadiliko yanayotokana na mabadiliko katika mada mbali mbali zilizomo katika mazingira viumbe ikiwa ni pamoja na binadam vinaishi,SIAMINI katika evolution inayopambanua mwanzo wa Uhai usio na uumbaji.
Viumbe kuwa na macho mawili inatokana na Mpango maalum wa Muumbaji wa Viumbe vyote,katika ya mambo ambayo tuaminivyo katika uumbaji ni pamoja na Uumbaji wenyewe,Ubunifu katika maumbo ya Viumbe,usanifu wa hali ya juu uliotumika katika viumbe na mpangilio wa viumbe pamoja na mazingira waishio viumbe ni ulivyofanywa kwa namna ya ajabu sana.
Tafakari yako MM ni ya kweli na niuthabiti na ukamilifu wa kibinadam ambao mwisho utaishia kuumpa Utukufu Muumba wa vyote vyenye macho mawili.
 
Naona "viumbe vingi" unavyovizungumzia hapa ni kutoka kwenye Kingdom ya Animalia. Vingi vya viumbe hivi huishi kwa kutegemea milango mitano ya fahamu (kuonja,kunusa,kuhisi,kusikia na kuona), hivyo ni lazima kuwe na ogani mahsusi kwa ajili ya kupitisha habari kwa ubongo ili uweze kutafsiri. Katika kuona inabidi kuwe na macho ambayo yatapitisha mwanga ili ubongo uweze kutafsiri(Ninavyoelewa macho hayaoni ila ubongo ndio unaona). Hivyo macho inabidi yawepo katika mahala pazuri ili kuweza kupitisha mwanga vizuri, nimeona wachangiaji wengine wameelezea vizuri zaidi.

Nakubaliana na wewe kwamba evolution contains some logic. Kwa mfano samaki anayeishi katika maji ya baridi ana utofauti na yule anayeishi katika maji ya chumvi ingawa wote ni samaki, nyoka anayeishi jangwani ni tofauti na nyoka anayepatikana kwenye maji ambaye pia ni tofauti na yule anayeishi porini. Sina uhakika nasikia ngozi za wazungu (wanaoishi kwenye baridi kali) zimekuwa adapted kuhimili baridi tofauti na za watu weusi wanaoishi kwenye joto jingi.
 
Mi alie nichekesha ni Mkuu Companero hapo in Bold. lol
Yani hata mimi nilitaka kutoa comment kama hiyo tu.
Kuna watakao kuja kusema because God wanted so
Hapo hapo wengine watakuja kuuliza: Can you prove it?

:focus:
Nadhani obvious reason kabisa ni kwamba vinyama vinatakiwa ku-perceive dunia inayo wazunguuka kwa kusurvive
Na moja katika njia ya ku-perceive ni kuona. Kuna sences zingine pia ambazo ni common: kama taste, smell, touch, ear etc. Vinyama vingi can feel through their skin, taste though their mouth etc.

Macho yanasaidia kuona hatari inayo kuja na kuihepuka. yanasaida kumchagua partner ambae anafaa kwa survival ya specie, yanasaidia kuona chakula kilipo kabla ya kukifata etc. Na zote hizo ni basic activities za survival
Naona umeweka zaidi vinyama vyenye macho MAWILI. Macho mawili yanasaidia kuona dunia in 3D. tungekua na jicho moja tungeona dunia kama tunavoona michoro kwenye karatasi. macho mawili (facing the same object) yanatupa perception ya depth.

Huyo crab ulie mweka hapo anaona tofauti na Human beings, anaona vitu 360. Perception yake imekaa kama duara. sijui nielezeje. Nyoka ana macho na anaona ila perception yake inatokana na uwezo wake wa 'kuhisi' viwango vya joto kupitia ulimi. Daulphin wanatumia echo location zaidi. 'wanaona' kupitia sonar kuliko macho etc.

I hope this helps...

What a Great Thinker! Impeccable comments really!
 
Nilikuwa natafakari juu ya uumbaji na kushangazwa na kitu kimoja cha ajabu; viumbe vingi hata vinavyoishi mazingira tofauti na vya aina (specie) tofauti sana vimefanana kwa kuwa na macho. Vinaweza vyote visiwe na miguu, mbawa, au pua lakini karibu vyote vina macho. Kuanzia majini, angani na nchi kavu viumbe vingi vinamacho! Wadudu wadogo na wanyama wakubwa wote wana macho; samaki na ndege hadi minyoo ina macho!

Na katika maajabu ndani ya maajabu ni kuwa viumbe vingi vina macho mawili (sijajua kama yupo mwenye jicho moja) na vile vingine vina macho mengi (compound eyes). Angalia mifano hii:

Angalia Nyoka:

large_green_snake_head_59652.jpeg

Angalia Samaki:

puffer_fish.jpg

Nyani:

Scarlet-Tanager.jpg

Vipepeo

rice_paper_butterfly_focus_head_crop_300x300_fofp.jpg

Mchwa

zombie-ant-fungus-bite-lockjaw-high-noon_35504_600x450.jpg
A "zombie" carpenter ant bites on a leaf in a 2007 picture.

Photograph courtesy David Hughes

Nyangumi

Kaa:

fiddler-crab.jpg

Nyani:

Kwanini?
Jibu la kisayansi ambalo hutolewa mara nyingi ni "evolution"; lakini kwanini "eyes"? Utaona viumbe vinafanana vitu vingi tu lakini mara nyingi tofauti ni idadi. kwa mfano viumbe vingi vina miguu minne (wanyama) lakini vipo vyenye miguu sita (wadudu) na vingine havina miguu kabisa (nyoka na samaki); lakini vyote vina macho! Kwanini macho ni mojawapo ya viungo ambavyo vinaonekana karibu katika viumbe vingi zaidi kuliko viungo vingine? Na kwanini mara karibu zote macho hayo yanakuwa mawili siyo matatu au manne (kuangalia pembeni, juu na chini)?

How does evolution reason with form and function in mind? (angalia kwa mfano macho ya crab ukilinganisha na ya nyangumi au kipepeo).

Superb!
 
I'm trying to make head or tail of evolution on the micro level, I would be appreciative if anyone could recommend good modern books pn the topic. I find Darwin's "Origin of Species' hard to understand and outdated.

Mzee Mwanakijiji,

Organisms belonging to the Domain Bacteria form the largest portion of the total biomass on planet earth and so far have been confirmed to lack eyes, therefore your question is grossly misleading. It should be, "Kwanini viumbe wengine wana macho?"

I don't know how some organisms came to develop eyes. The initial developement of these photo-receptive cells is what is baffles me. Maybe I just haven't done enough research.

Wakati tunawasubiri kina Kiranga waje kuunanga uumbaji wa Mungu ngoja niseme hivi: Mwanga ni moja ya vitu vya kwanza kabisa kuumbwa na kuna uhusiano mkubwa sana kati ya macho na mwangaza - hebu soma hii makala: New eyes for blind cave fish?

Mungu yupi huyu unayezungumzia kumhusu? There are thousands of existing gods, the Judeo-christian or Islamic (Abrahamic) is just one of these, I'm very interested to know how you came to the conclusion that it was specifically the one who you follow that created the universe ............ or light in this case.

This is an argument from incredulity, just because we lack the complete comprehension of the functioning of all living things, it does not automatically infere GODDIDIT™.

By judging an entity and concluding, from its general complexity, that it must have been designed, then logic dictates that we also conclude that the even more complex designer (Does the 2nd law of thermodynamics apply here?) must have been designed by more complex designer and so on and so fourth. This then leads to an infinite regress.
 
I'm trying to make head or tail of evolution on the micro level, I would be appreciative if anyone could recommend good modern books pn the topic. I find Darwin's "Origin of Species' hard to understand and outdated.

Mzee Mwanakijiji,

Organisms belonging to the Domain Bacteria form the largest portion of the total biomass on planet earth and so far have been confirmed to lack eyes, therefore your question is grossly misleading. It should be, "Kwanini viumbe wengine wana macho?"

I don't know how some organisms came to develop eyes. The initial developement of these photo-receptive cells is what is baffles me. Maybe I just haven't done enough research.

Mungu yupi huyu unayezungumzia kumhusu? There are thousands of existing gods, the Judeo-christian or Islamic (Abrahamic) is just one of these, I'm very interested to know how you came to the conclusion that it was specifically the one who you follow that created the universe ............ or light in this case.

This is an argument from incredulity, just because we lack the complete comprehension of the functioning of all living things, it does not automatically infere GODDIDIT™.

By judging an entity and concluding, from its general complexity, that it must have been designed, then logic dictates that we also conclude that the even more complex designer (Does the 2nd law of thermodynamics apply here?) must have been designed by more complex designer and so on and so fourth. This then leads to an infinite regress.

Red:
1. ...therefore your question is grossly misleading far beyond that of MM. It should be, "Kwanini viumbe wengi wana macho huku wachache wakiwa hawana?"
2. Not only that you don't know,but you will never know,just guessing here and there then developing the so called theory waiting for peer review to dump it in a dust bin.
3. Ni kweli kuna Miungu maelfu kwa maelfu,lakini yupo Mungu wa kweli naye ni Mmoja tu,Mungu wa Isaka,Mungu wa Israel na Mungu wa Yakobo.
4. You are the one who lacks the complete comprehension that there are atleast four point of which a human being with clear and clean brain has at his/her disposal that proves GOD exists
1.CREATION
2.DESIGN
3.ART
4.ORDER

You use you PC or Laptop to post you r.u.bi.sh here (name any other item on your right hand,left hand,front and on your back) you know it has a creator. when you look around the universe what do you see ? simple, you see Creation,design,art and order behind it, why would you not think that there is Creator, a Designer, an Artist and an Orderer behind this universe ? are really a human being wath mind, or human made in laboratory lacking some important human features ? Come to your mind man...

4.Who judges entities and concludes ? who ever found the general complexity in the realm of religion and concluded...
what i read and decode from your explanation is the blind faith that atheist experience, that leads them to formulate non-existing theories,develop them and impart them in discussion with theist as though are theist theories. there is no point in the bible that is the basic source of my faith where i found narration like those you wrote above, what i read in the bible is the fact that that the universe was created by GOD and all the seen and unseen matters in the universe was created by GOD.
 
Hapa ngoja nitazame kwanza,maana tayari nimeanza kuelimika aste aste!!
 
Naona teams zinajipanga, ngoja niagize popcorns :couch2::pop2:
 
Red:
1. ...therefore your question is grossly misleading far beyond that of MM. It should be, "Kwanini viumbe wengi wana macho huku wachache wakiwa hawana?"

Biology-online.org defines Biomass as: The total mass of all living material in a specific area, habitat, or region. If bacteria have the largest biomass on earth (specific area, habitat, or region), their population being 5×10^30. The organisms posted here belong to kingdom animalia. There are organisms from kingdom plantae and some from kingdom animalia that lack eyes, ergo, It would not be wrong to conclude that only a very small portion of living organisms on earth posses eyes. That said, the question "Kwanini [R]viumbe wengi[/R] wana macho huku [Red]wachache[Red] wakiwa hawana?" is misplaced and so is "Kwanini viumbe vingi vina macho?".

Mine, as ambiguous as it is, still holds.

2. Not only that you don't know,but you will never know,just guessing here and there then developing the so called theory waiting for peer review to dump it in a dust bin.

I like how certain you are that I will never know. :) How did you come to that conclusion, pray do tell? You know everything?

Please read a science Book and not a dictionary if you want to argue on scientific concepts. A scientific theory is not an unsubstantiated idea or a guess, that is a hypothesis. A theory in science has to have evidence and should be repeatable (among many other requirements ), peer reviews simply work within these guidelines. If your theory is 'dumped in the bin', then most probably it deserves to be there.

3. Ni kweli kuna Miungu maelfu kwa maelfu,lakini yupo Mungu wa kweli naye ni Mmoja tu,Mungu wa Isaka,Mungu wa Israel na Mungu wa Yakobo.

A positive assertion, can you bare the burden of proof?

This is special pleading, you're asking me to give a different assessment of your god while doing nothing but make bare assertions. The Judeo-christian deity is just a god, like any other, named God. He shows similar characteristics to almost all of them, the main being that he is untestable empirically, so, it's all a matter of semantics ..... tough luck!

4. You are the one who lacks the complete comprehension that there are atleast four point of which a human being with clear and clean brain has at his/her disposal that proves GOD exists
1.CREATION
2.DESIGN
3.ART
4.ORDER

Again you special plead. How do you measure if this human has 'a clear and clean brain'? If he agrees with your assertions? :)

Are you arguing for a deist god?

I repeat:

I'm very interested in know how you came to the conclusion that it was specifically
the one who you follow that
created the universe ............ or light
in this case.

I'll now start an award system for every logical fallacy.

Bare assertion. +1

Affirming the consequent +1

You use you PC or Laptop to post you r.u.bi.sh here (name any other item on your right hand,left hand,front and on your back) you know it has a creator. when you look around the universe what do you see ? simple, you see Creation,design,art and order behind it, why would you not think that there is Creator, a Designer, an Artist and an Orderer behind this universe ? are really a human being wath mind, or human made in laboratory lacking some important human features ? Come to your mind man...

Watchmake's analogy .............. Watchmaker analogy - Wikipedia, the free encyclopedia

The designers of those gadgets were designed?

4.Who judges entities and concludes ? who ever found the general complexity in the realm of religion and concluded...

Aha! So your intentions are to drag me into a 'religion is better or equal to science' exchange? I'm afraid I never do that.

what i read and decode from your explanation is the blind faith that atheist experience, that leads them to formulate non-existing theories,develop them and impart them in discussion with theist as though are theist theories. there is no point in the bible that is the basic source of my faith where i found narration like those you wrote above, what i read in the bible is the fact that that the universe was created by GOD and all the seen and unseen matters in the universe was created by GOD.

And God so far has only been unseen? Mhhhhhhh?
 
Nilikuwa natafakari juu ya uumbaji na kushangazwa na kitu kimoja cha ajabu; viumbe vingi hata vinavyoishi mazingira tofauti na vya aina (specie) tofauti sana vimefanana kwa kuwa na macho. Vinaweza vyote visiwe na miguu, mbawa, au pua lakini karibu vyote vina macho. Kuanzia majini, angani na nchi kavu viumbe vingi vinamacho! Wadudu wadogo na wanyama wakubwa wote wana macho; samaki na ndege hadi minyoo ina macho!

Na katika maajabu ndani ya maajabu ni kuwa viumbe vingi vina macho mawili (sijajua kama yupo mwenye jicho moja) na vile vingine vina macho mengi (compound eyes). Angalia mifano hii:

Angalia Nyoka:

large_green_snake_head_59652.jpeg

Angalia Samaki:

puffer_fish.jpg

Nyani:

Scarlet-Tanager.jpg

Vipepeo

rice_paper_butterfly_focus_head_crop_300x300_fofp.jpg

Mchwa

zombie-ant-fungus-bite-lockjaw-high-noon_35504_600x450.jpg
A "zombie" carpenter ant bites on a leaf in a 2007 picture.

Photograph courtesy David Hughes

Nyangumi

Kaa:

fiddler-crab.jpg

Nyani:

Kwanini?
Jibu la kisayansi ambalo hutolewa mara nyingi ni "evolution"; lakini kwanini "eyes"? Utaona viumbe vinafanana vitu vingi tu lakini mara nyingi tofauti ni idadi. kwa mfano viumbe vingi vina miguu minne (wanyama) lakini vipo vyenye miguu sita (wadudu) na vingine havina miguu kabisa (nyoka na samaki); lakini vyote vina macho! Kwanini macho ni mojawapo ya viungo ambavyo vinaonekana karibu katika viumbe vingi zaidi kuliko viungo vingine? Na kwanini mara karibu zote macho hayo yanakuwa mawili siyo matatu au manne (kuangalia pembeni, juu na chini)?

How does evolution reason with form and function in mind? (angalia kwa mfano macho ya crab ukilinganisha na ya nyangumi au kipepeo).
MM una akili sana wewe duu, yaani sikuwahi kufikiria hivyo hata siku moja!!!!!!! thanks
 
Biology-online.org defines Biomass as: The total mass of all living material in a specific area, habitat, or region. If bacteria have the largest biomass on earth (specific area, habitat, or region), their population being 5×10^30. The organisms posted here belong to kingdom animalia. There are organisms from kingdom plantae and some from kingdom animalia that lack eyes, ergo, It would not be wrong to conclude that only a very small portion of living organisms on earth posses eyes. That said, the question "Kwanini [R]viumbe wengi[/R] wana macho huku [Red]wachache[Red] wakiwa hawana?" is misplaced and so is "Kwanini viumbe vingi vina macho?".
Mine, as ambiguous as it is, still holds.

I like how certain you are that I will never know. :) How did you come to that conclusion, pray do tell? You know everything?

please read a science Book and not a dictionary if you want to argue on scientific concepts. A scientific theory is not an unsubstantiated idea or a guess, that is a hypothesis. A theory in science has to have evidence and should be repeatable (among many other requirements ), peer reviews simply work within these guidelines. If your theory is 'dumped in the bin', then most probably it deserves to be there.

A positive assertion, can you bare the burden of proof?

This is special pleading, you're asking me to give different assessment of your god while doing nothing but make bare assertions. The Judeo-christian deity is just a god, like any other, named God. He show similar characteristics to almost all of them, the main being that he is untestable empirically, so, it's all a matter of semantics ..... tough luck!

Again you special plead. How do you measure if this human has 'a clear and clean brain'? If he agrees with your assertions? :)

Are you arguing for a deist god?

I repeat:

I'll now start an award system for every logical fallacy.

Bare assertion. +1

Affirming the consequent +1

Watchmake's analogy .............. Watchmaker analogy - Wikipedia, the free encyclopedia

The designers of those gadgets were designed?

Aha! So your intentions are to drag me into a 'religion is better or equal to science' exchange? I'm afraid I never do that.

And God so far has only been unseen? Mhhhhhhh?

Naamini kama ni elimu umepewa,swala la kichwa chako kushindwa kuhimili ukweli ni la kwako, sina muda wa kusoma biology,soma wewe mimi nitalipia kusoma kwako, fanya hima mbu wananisumbua na wanaendelea kututesa huku kwetu,achana na kuhangaika na mabakteria wasioonekana chini ya ardhi,ongeza bidii tumdhibiti mbu na ndugu zake wengi wanaotutesa ili tuishi kwa afya njema.
Ni ukweli kuwa wakati malaria inaendelea kututeketeza wanasayansi wa kiafrika waliowengi wamejikita kukariri mautafiti juu ya anga za juu na juu ya viumbe ambao hawaonekani,huku wenyewe bila aibu wakijisomea tafiti hizo wakiwa ndani ya neti umbu wasiwasumbue, achana na hayo mautafiti ya anga za mbali na viumbe wasionekana ibuka juu utafiti namna ya kumwangamiza umbu na wadudu wengine watutesao kwa kutumia viambata vipatikanavyo katika mazingira yetu. Acha na kukariri ,mambo ya wazungu wao tayari wamewashinda mbu na malaria ni ugonjwa unaopatikana kwenye vitabu vilivyoko kwenye maktaba zao.

bear with us bro. pambana na mbu.
 
This thread has been beshited.
 
Hahahaa, jisomee zako Bible mwaya!
 
Back
Top Bottom