Huyo Nyani kanichekesha na hata sijui kwa nini nimecheka!
Mi alie nichekesha ni Mkuu Companero hapo in Bold. lol
Yani hata mimi nilitaka kutoa comment kama hiyo tu.
Kuna watakao kuja kusema because God wanted so
Hapo hapo wengine watakuja kuuliza: Can you prove it?
Wakati tunawasubiri kina Kiranga waje kuunanga uumbaji wa Mungu ngoja niseme hivi: Mwanga ni moja ya vitu vya kwanza kabisa kuumbwa na kuna uhusiano mkubwa sana kati ya macho na mwangaza - hebu soma hii makala:
New eyes for blind cave fish?
:focus:
Nadhani obvious reason kabisa ni kwamba vinyama vinatakiwa ku-perceive dunia inayo wazunguuka kwa kusurvive
Na moja katika njia ya ku-perceive ni kuona. Kuna sences zingine pia ambazo ni common: kama taste, smell, touch, ear etc. Vinyama vingi can feel through their skin, taste though their mouth etc.
Macho yanasaidia kuona hatari inayo kuja na kuihepuka. yanasaida kumchagua partner ambae anafaa kwa survival ya specie, yanasaidia kuona chakula kilipo kabla ya kukifata etc. Na zote hizo ni basic activities za survival
Naona umeweka zaidi vinyama vyenye macho MAWILI. Macho mawili yanasaidia kuona dunia in 3D. tungekua na jicho moja tungeona dunia kama tunavoona michoro kwenye karatasi. macho mawili (facing the same object) yanatupa perception ya depth.
Huyo crab ulie mweka hapo anaona tofauti na Human beings, anaona vitu 360. Perception yake imekaa kama duara. sijui nielezeje. Nyoka ana macho na anaona ila perception yake inatokana na uwezo wake wa 'kuhisi' viwango vya joto kupitia ulimi. Daulphin wanatumia echo location zaidi. 'wanaona' kupitia sonar kuliko macho etc.
I hope this helps...