Haya maneno yote yana maana sawaKwanini "vinaonekana" kudondoka au kwanini vinadondoka??.
Hili ndio tatizo..
Kwanini hamsomi kwanza swali kabla ya kujibu?
Hii sio issue ya Classical Mechanics
Utaona hapa maelezo yako yote yame assume uwepo wa "Gravitation force" notion ambayo sio sahihi kwasababu Gravitation sio force... Hence hakuna acceleration due to gravity
(Value "g" uliyo assume kuwa ni 9.8m/s^2 conceptually ni 0 kwa hoja hii)
Na hakika hapa namjibu MTU ambao hata General Relativity hajawahi kuisoma
Unaweza kunielezea "Equivalent Principle" kwa maneno yako?
Ni complicated sana japo zinakupa "complete" explanation ya "motion" na "Gravitation"We jamaa usiku wote huu unaleta hizo theorem za relativity dah nazichukia balaa enzi zile mechanics kwenye advance physics ilinifanye niachane na hiyo kitu nkahangaika na bios na chem now ndio zanipa ugali
Chukua jiwe rusha juu, litaenda juu na kurudi chini Kisha kutulia ,Kushikiliwa kivipi?
Tatizo ni kwamba hujaelewa mzizi wa swaliKweli Gravitation sio force na ili iwe force lazima u suffix neno force, na inakuwa "Gravitational force" ni sawa na useme friction sio force na ili iwe force nilazima u suffix neno force na inakuwa "frictional force".
Huna haja ya ku deal na Quantum mechanics wakati Newtonian mechanics (classical) bado ni valid na ndio maana satellites zinarushwa kila uchao na space missions zinafanywa kwa kuzingatia Newtonian mechanics.
"Vitu vinadondoka"--- kifupi sio kudondoka bali ni kuvutana na hii ni governed by the universal gravitation law, ni kwamba kitu chenye mass ndigo ndicho kinachoonekana kudondoka (kuvutwa) na kile chenye mass kubwa hakionekani kwasababu acceleration yake ni ndogo mno almost zero.
MA=-ma, M is much greater than m.
Hii karne ya 21....Chukua jiwe rusha juu, litaenda juu na kurudi chini Kisha kutulia ,
Inamaa jiwe limeenda juu kwa kuapply external force lakini bila kuweka external force lisingeweza kwenda juu, kwa hiyo kila kitu kinarudi katika asili yake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo ni kwamba hujaelewa mzizi wa swali
Newton alichotupa ni Mathematical equation ambayo tunaweza kuitumia safely (bila hofu yoyote) Ku calculate trajectories of "every day objects" under influence of the so called "Gravitation force"
So ni kweli Equation ni accurate kwa kiasi Fulani kwa case rahisi kama Ku calculate escape velocity au Ku determine motions ya hizo satellites etc...
Cause Einstein field equations inakua reduced to "hio classical Equation ya newton" kwa cases kama hizo
Thus why tunaitumia....
Tuache Mathematics sasa tuje kwenye "Physical Interpretation" ya Gravitation hapa ndipo swali lilipo
Hapa ndio General Relativity ilivyo tofauti kabisa (kwa 100%) na Classical Mechanics
Classical Mechanics ya newton haijaelezea chochote kuhusu asili ya Gravitation na jinsi gani inafanya kazi
Ilichotupa ni "Formula"
General Relativity imetupa maelezo na Formula
Na Maelezo ya General Relativity ndio yamenifanya niulize hili swali hapa
Unaweza kuitumia classical Mechanics Ku calculate mda amabo kitu kitachukua kutoka chini mpaka juu na ukawa correct
(cause ni mathematics)
Hata Einstein Field Equations Unaweza kuzitumia na zikakupa jibu hilo hilo
Ila huwezi kutumia Classical Mechanics "kuelezea" kwanini sasa hicho kitu kinadondoka au kuonekana kudondoka
Kwa sababu haina maelezo na Newton mwenyewe ali "admit"
On other hand General Relativity imetupa Vyote "Explanation" na "Formula"
Classical Mechanics imetupa "Formula"
Sasa swali langu lilikua kivipi "vinaonekana kudondoka" kwa mujibu wa "GR"
Hili swali sio rahisi
Good thinking.Kwanini vitu vinadondoka?
Hili swali kwa muda mrefu nilikua nalichukulia poa (take for granted) lakini sasa nakili kuwa ni moja kati ya maswali magumu zaidi kuwahi kuulizwa na binadamu.
Ukiacha Programming kitu kingine ninachokipenda ni Modern Physics, nasoma basics tu niweze kuelezea ulimwengu ninao interact nao kila siku baada ya Computer
So nilikua naamini kabisa kuwa naweza kuelezea kwanini vitu vinadondoka? Kwanini jiwe linarudi chini ukilirusha juu?
Kwanini apple linaanguka juu ya mti?
Isaac Newton alitupa Formula sahihi(kiasi) ila maelezo ya "uongo" kuhusu kwanini vitu vinadondoka
Kwa mujibu wa Sir Isaac Newton, jiwe linadondoka kwasababu kwasababu ya nguvu ya uvutano kati yake na Dunia. nguvu hii ya uvutano ndiyo inayofanya jiwe livutwe chini kwa kasi ya mita 9.8 kwa kila sekunde ya kila sekunde (acceleration due to gravity)
Na hayo maelezo ya uongo nimekua nikiyaamini mpaka hapo juzi nilipopata nafasi ya kujifunza General Relativity. Na nilichogundua ni kuwa, siwezi tena kuelezea kwa nini jiwe au kitu chochote kinadondoka
Naamini kuna watu smart humu waliosoma General Relativity au kuielewa, wanaweza kutuelezea kwanini vitu vinaanguka..
Kwanini Newton hakua sahihi?
Newton hakua sahihi kwa sababu hii
Imagine umeshika chupa iliyojaa maji (umeinyanyua)
ukiachia hii chupa, itandondoka chini sio?
Hapana, chupa haitondondoka?
Unashangaa ulichosoma najua, yote hayo ni kwasababu wewe una IQ isiyozidi 100 so huwezi fikiria nje ya common sense
Chupa haitondoka kwasababu hakuna nguvu yoyote inayoivuta hio chupa. Ku prove hili, tutoboe matundu mawili katikati ya hio chupa
Kipindi tumeishikilia (maji yatamwagika chini kupitia yale matundu) ila tutakapo iachia maji hayatomwagika tena hata kama chupa ina matundu. so hakuna force yoyote inayovuta yale maji tena.
Kwa mjibu wa Newton first law of motion, hii chupa itaganda pale pale kwasabau kama F=ma , m=mass ya chupa ya maji , a= acceleration na F= 0 (kwasababu hakuna nguvu yoyote inayoivuta) basi a=0 (haitodondoka)
kumbuka m > 0 (chupa always ina mass)
Sasa swali linabaki kwanini hii chupa tunaiona ikishuka kutoka juu mpaka chini?
Au kwanini vitu vinaonekana kudondoka?
UPDATE:
Wazee naona kama baadhi hamjaelewa swali au lengo la huu uzi
Swali ni hili "Kwanini vitu vinadondoka?"
NOTE: usitumie classical mechanics kujibu hili swali thus why nimeanza kuonyesha hapo juu kwanini classical mechanics haiwezi kujibu swali hilo
100% umeelewa!Kama nimeelewa mfano wa chupa na maji........ ni kwamba ukiinyanyua na kuishikilia chupa yenye maji kisha ukaitoboa maji yataanza kutoka kwenye matundu na kwenda chini
Lakini ukiiachia tu chupa ikianza kwenda chini basi yale maji yaliokua yanatoka yanaacha kutoka..........NIMEELEWA SAHIHI?
At least nimeona comment ya mtu tunayoweza kuelewanaGood thinking.
Ndio maana Theory of relativism imezidiwa nguvu na theory of everything.
More development ndio new invention based on new findings.
Hapa unaanza kunielewa mkuuWewe unaulizia mechanism ya gravitation ??, maana yake swali lako linafanana na unapona gari inatembea na unauliza kwanini gari hiyo inatembea (mechanism) gani inasababisha gari itembee, si ndio hivyo au sijakupata vyema???!;
Ndo ivyo ndege amekudesign kuruka juuHii karne ya 21....
Bado unatumia outdated theories za "Aristotle" kuwa vitu vinarudi chini kwa sababu ni "asili ya hivyo vitu"
Kuwa vitu "jiwe linadondoka" chini kwa sababu "chini ndio asili yake" na "ndege anapaa" kwasababu "juu ndio asili yake"
Huu upuuzi
Mechanism au nature ya Gravitation ni nini
Swali langu nimeuliza hivi hivi tangu mwanzoSwali lako lilitakiwa uliweke hivyo na sio jinsi ulivyoliweka pale mwanzo.
Hata hivyo bado Einstein naye yupo kwenye nadharia; "the General theory of relativity" hiyo kwa jina jingine inaitwa "the Theory of gravitation" .
Mkuu mimi ni kilaza tu wa haya makitu niliyakimbiaga kitambo olevel100% umeelewa!
Ni experiment ambayo ni rahisi kuifanya hata ukiwa nyumbani
The same na mtu ambaye yupo kwenye lift "elevator" inayoshuka chini
Kwa bahati mbaya hii cable au kama inayoshikilia hii elevator ikikatika kwa sababu yoyote ile ya kiufundi
Huyu mtu "ata feel weightless"
Ataelea ndani ya elevator pamoja ni vitu vyote vilivyopoa ndani
Kama yupo juu sana..."imagine anachukua Siku Siku mbili kutoka juu mpaka chini"
Basi experience ya huyu mtu haitokua tofauti na mtu aliye kwenye "outer space" ambayo tunajua "Hakuna Gravity"
Hapa ndipo "Principle of Equivalent" ilipokuja kama hakuna namna ya kutofautisha hizi "situations" mbili
Yaani "Weightlessness" ya mtu anayeanguka kwenye elevator na "Weightlessness" ya mtu aliye kwenye outer space ambapo hakuna Gravitation (F=0)
..
Basi hizi situations mbili ni sawa,means pote F =0
Kama F=mg na F=0 basi g=0 pia kwasababu only parameter ambayo haiwezi kuwa 0 ni mass(m)
Hii principle ndio msingi wa General Relativity
Kama Hakuna Force yoyote inayo act katika Frame of reference ya elevator
Inabidi tuje na maelezo mengine kwanini huyu tunamuona "akidondoka kutoka chini"
Na Haya maelezo ndio "New Physical interpretation ya Gravitation"
From "force" to "Curvature of spacetime"
So swali langu lilikua ni hilo kwanini vitu vinaonekana kudondoka kulingana na hii interpretation mpya ya GR...(ambayo ndio standard Interpretation kwa sasa)
Bahati mbaya sijapata jibu till now
"Kwanini vitu vinaonekana kudondoka"?
Hili swali sio jepesi kama linavyonekana
General Relativity inanambia ni " time component " ya spacetime ndiyo inayofanya vitu vionekane kudondoka
"Cause they are moving forward into the future"
Very confusing
Nilikuja hapa kupata guide kwa walisoma Relativity bahata mabaya nimejikuta nafundisha Relativity tena