johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,036
- 142,116
Yaani viongozi wa upinzani wakashiriki kwenye msiba wa viongozi wezi wa kura, huku wapiga kura wao wakiwa wameuwawa ili ccm wakae madarakani kwa shuruti?Kwa sasa imekuwa ni vigumu sana kuwaona na hata kuwasikia viongozi wetu wakuu wa upinzani katika matukio muhimu...
Kwa sasa imekuwa ni vigumu sana kuwaona na hata kuwasikia viongozi wetu wakuu wa upinzani katika matukio muhimu...
Bwashee naomba ufafanuzi wa maana ya shughulu za kitaifa.Kwa sasa imekuwa ni vigumu sana kuwaona na hata kuwasikia viongozi wetu wakuu wa upinzani katika matukio muhimu...
Ruzuku mnapokea? Kama mnamachungu na wapiga kura waliowawa mbona mlijiunga na Suk?Yaani viongozi wa upinzani wakashiriki kwenye msiba wa viongozi wezi wa kura, huku wapiga kura wao wakiwa wameuwawa ili ccm wakae madarakani kwa shuruti? Katika vitu nitawadharau hao viongozi wa upinzani, ni kushiriki kwenye shughuli za wezi wa kura. Kiongozi wa upinzani anayejitambua hawezi kushirikiana na wezi na wamwaga damu.
Ule ni utani tu, kuwa muelewa...washiriki ili wabezwe na kukejeliwa na Jiwe?
..hukumsikia Jiwe akimkejeli Prof.Lipumba kwamba amenenepa baada ya uchaguzi?
..utani unafanya na mtu unayeweza kurushiana naye vijembe.Ule ni utani tu, kuwa muelewa.
Kwani Prof hawezi kurushiana vijembe na namba 1?..utani unafanya na mtu unayeweza kurushiana naye vijembe.
Kwani Prof hawezi kurushiana vijembe na namba 1?
Wewe unachuki binafsi kama jamaa flani yumbo humu Jf...atakuwa amevunja itifaki.
..Jiwe anapenda sana vijembe visivyo na heshima hata kwa wanawake.
Ruzuku mnapokea? Kama mnamachungu na wapiga kura waliowawa mbona mlijiunga na Suk?
Unataka ushahidi gani juu ya ruzuku kuchuliwa?Umewahi kuniona naunga mkono huo uhuni uitwao SUK? Weka ushahidi wa ruzuku kuchukuliwa, halafu ruzuku sio pesa ya ccm.
Mbona unamruka Mzee Rungwe?Kwa sasa imekuwa ni vigumu sana kuwaona na hata kuwasikia viongozi wetu wakuu wa upinzani katika matukio muhimu.
Kwa mfano katika shughuli muhimu kama msiba wa balozi Kijazi au katika tukio la kuapishwa Katibu mkuu kiongozi mpya balozi Bashiru walipaswa kuwepo lakini hawajaonekana.
Ni Prof Lipumba pekee ndiye amewahi kuonekana kwenye sherehe za siku ya sheria lakini Mbatia, Zitto Kabwe, mzee Cheyo na Mbowe ni kitambo sasa hawaonekani.
Maendeleo hayana vyama!
Umelala nini?Kwa sasa imekuwa ni vigumu sana kuwaona na hata kuwasikia viongozi wetu wakuu wa upinzani katika matukio muhimu.
Kwa mfano katika shughuli muhimu kama msiba wa balozi Kijazi au katika tukio la kuapishwa Katibu mkuu kiongozi mpya balozi Bashiru walipaswa kuwepo lakini hawajaonekana.
Ni Prof Lipumba pekee ndiye amewahi kuonekana kwenye sherehe za siku ya sheria lakini Mbatia, Zitto Kabwe, mzee Cheyo na Mbowe ni kitambo sasa hawaonekani.
Maendeleo hayana vyama!