Mwagika mkuuHIV ni just imaginary ,kondom ni utumwa ingawa kuna magonjwa kama gono,kaswende ila huwezi kupata ukimwi kama huna tatizo na afya yako eti kisa hujatumia kondom.
najua wachache ndio watanielewa
Tueleweshane mkuuMimi nakuelewa sana.
Acha uongo aisee..utawaponza wenzako.HIV ni just imaginary ,kondom ni utumwa ingawa kuna magonjwa kama gono,kaswende ila huwezi kupata ukimwi kama huna tatizo na afya yako eti kisa hujatumia kondom.
najua wachache ndio watanielewa
Hao ndo wapotoshaji siwapendi, hao ni mawakala wa ibilisi.!Acha uongo aisee..utawaponza wenzako.
Huyo atakuwa nao na hana cha kupoteza anavyodhaniAcha uongo aisee..utawaponza wenzako.