Kwanini vijana wasomi wanayumba sana mtaani?

Suala zito sana hili sema hakuna takwimu sahihi kuonesha watu wapi wamewazid wenzao mafanikio kati ya walisoma na wasisoma mana kuna...

Kwa kifupi maisha hayana fomula kuna wasiosoma wanatamani wangesoma kwa jinsi game lilivowakazia... Ni kuomba Mungu tu yasikukute
 
Wewe wasomi ndio wanuchumi unless asiuesoma apate backup yakutosha ya wazazi.
 
Japo Nina ka-diploma Ngoja nianze biashara ya kununua mifuko kariakoo kwa bei ya jumla nije niuze huku mtaani kwa rejareja
 
Hebu tuache kuwaonea hawa vijana ni kweli wana matatizo lakini jamii imezidi wahukumu sana. Ni jamii hii hii ambayo iliwatuma kusoma na kuwakazania wasome kwa juhudi wakajitahidi wakatimiza jamii ilichowataka lakini jamii ile ile inaanza kumuona hana thamani.
Sijui kwa sasa hivi ila kijana mpaka afike college amejiexclude na jamii kwa muda mrefu sana, fikiria miaka saba ya primary, sita ya secondary na mitatu ya college system imekutenga na jamii kwa miaka 17. Fikiria ili ufaulu vizuri si wakati wa likizo au wa masomo Mchikichini/msuli mkali ndio ulikua mkombozi wako kwenda mbele la sivyo ungeishia njiani. Ili kufikia malengo yako ulipaswa kutumia muda mwingi kusoma kuliko kuishi na jamii yako wewe ni msuli na kula. Umejitahidi umefanya yote hayo jamii ile ile ilyokuhusudu wakati unakomaa sasa hivi wanakuhumu.

Naamini vijana watabadilika lakini sio kwa vile tunavyotaka sisi ni process itakayochukua muda. Huwezi mfananisha la saba drop out ana experience ya mtaa kuliko yeye kama miaka kumi. The education has failed them they need to wake up ila sio kufanyiwa dhihaka.
Nimekuelewa sana kiongozi, maana imekuwa kama msalaba wa mateso kwa wahitimu wa degree, mtu akifungua biashara ndogo wanaanza kumkejeli eti bora ungebaki mtaani kuliko kusoma yani hamna jema kwa walimwengu
 
Utamkuta mtu mwaka wa saba Sasa anakaa kwa shemeji yake kaz kupiga story tu Nina degree Mimi usinione hivi.

Ina Mana vijana degree zenu huwa ni kifungo kinachokuzuia kufanya shughuli zingine za kuingiza pesa wakati ukisubir hiyo ajira, kumbuka sku hz wasomi wengi tofauti na zaman, zaman ukimaliza form four tu unaajiriwa moja kwa moja siku hz na degree zetu ndio tumejaa kitaa.

Vijana tubadili fikra Kuna maisha bila ya degree
Mpaka mkose pakula akili itaload upya..
 
Eti kuwahukumu, usilete siasa hapa..
Hebu tuache kuwaonea hawa vijana ni kweli wana matatizo lakini jamii imezidi wahukumu sana. Ni jamii hii hii ambayo iliwatuma kusoma na kuwakazania wasome kwa juhudi wakajitahidi wakatimiza jamii ilichowataka lakini jamii ile ile inaanza kumuona hana thamani.
Sijui kwa sasa hivi ila kijana mpaka afike college amejiexclude na jamii kwa muda mrefu sana, fikiria miaka saba ya primary, sita ya secondary na mitatu ya college system imekutenga na jamii kwa miaka 17. Fikiria ili ufaulu vizuri si wakati wa likizo au wa masomo Mchikichini/msuli mkali ndio ulikua mkombozi wako kwenda mbele la sivyo ungeishia njiani. Ili kufikia malengo yako ulipaswa kutumia muda mwingi kusoma kuliko kuishi na jamii yako wewe ni msuli na kula. Umejitahidi umefanya yote hayo jamii ile ile ilyokuhusudu wakati unakomaa sasa hivi wanakuhumu.

Naamini vijana watabadilika lakini sio kwa vile tunavyotaka sisi ni process itakayochukua muda. Huwezi mfananisha la saba drop out ana experience ya mtaa kuliko yeye kama miaka kumi. The education has failed them they need to wake up ila sio kufanyiwa dhihaka.
 
Kuna haja ya kuipitia mitaala yetu na wanaoitekeleza mitaala hiyo kama inakidhi mahitaji ya soko

Inawezekana upande huu unamapungufu pia na unachangia kwa hatua kubwa tatizo hili
 
Nimekuelewa sana kiongozi, maana imekuwa kama msalaba wa mateso kwa wahitimu wa degree, mtu akifungua biashara ndogo wanaanza kumkejeli eti bora ungebaki mtaani kuliko kusoma yani hamna jema kwa walimwengu
Vijana tupambane tubadilishe mtazamo itachukua muda lakini inawezekana kabisa.
 
Eti kuwahukumu, usilete siasa hapa..
Siasa ni wale wanasiasa walioacha kufanya kazi zao za msingi na kuanza kulaumu kundi fulani, graduates ni punching bag sababu wanajua watapata mass support.
Ni kama Xenophobic attacks in SA, wasauzi wamelishwa propaganda kuamini wageni ndio adui yao kumbe uongozi wao ndio kimeo, similar to our education system ndio tatizo ila graduates ndio wanaobeba mzigo.
So next time have a thorough thought kabla hujaandika kitu.
 
hulka ya kijana ni kuwa flexible kubadili mfumo wa maisha kulingana na hali iliyopo katika eneo,washauri wavue majoho ya elimu walizopata na waingie mtaani

Cc Kingsmann
Street hustle ni bachelor/diploma tosha. Ukienda na bachelor/diploma yako utafeli sababu ni kama kusoma civil engineering halafu uende kufanya kazi hospitali.

Cc Unforgetable
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom