Kwanini vijana wasomi wanayumba sana mtaani?

Kwanini vijana wasomi wanayumba sana mtaani?

Swalii zurii,,hapa watakazania tu jiajiri jiajirini wkt wenyew hawawezi kuacha hizo kazi na kujiajiri
Wanazidi kurenew mikataba yao yakazini unakuta mtu kachoka mpaka vidole lakini kuachia hataki
 
Siyo lazima ufunge genge, anaweza fanya packaging nzuri ya hizo nyanya, vitunguu etc akaweka lebo then akawa ana supply supermarket au other places
Kusoma mpaka chuo halafu kufungua genge la nyanya ni ujinga.bora hata chuo usingefika ungeishia lasaba.
 
PALE SERIKALI INAPOZIDISHA SHULE ZA KATA NA VYUO UCHWARA VYA KIBINAFSI INAPELEKEA KUTENGENEZA WAHITIMU WENGI HUKU UBUNIFU WA KITENGO CHA AJIRA KUWA FINYU.
HILI NI BOMU LINALOTENGENEZWA TARATIBU LIKISUBIRI MUDA WA KULIPUKA
Sijawahi ona comment yakijinga kama hii toka nimejiunga jamiiforum! Kajamaa kanalaumu serikali kuanzisha shule?
 
Utamkuta mtu mwaka wa saba Sasa anakaa kwa shemeji yake kaz kupiga story tu Nina degree Mimi usinione hivi.

Ina Mana vijana degree zenu huwa ni kifungo kinachokuzuia kufanya shughuli zingine za kuingiza pesa wakati ukisubir hiyo ajira, kumbuka sku hz wasomi wengi tofauti na zaman, zaman ukimaliza form four tu unaajiriwa moja kwa moja siku hz na degree zetu ndio tumejaa kitaa.

Vijana tubadili fikra Kuna maisha bila ya degree
Acheni uzwazwa wakuwaonea wasomo bhana.
Wewe kama yalikushinda njiani yalikushinda we tu. Kama wanakaa kwa mashemeji zao we yanakuhusu nini.
Omba dada yako aolewe na we ukakae.
Asante
 
Unaleta dhihaka? au utoto tu? unafikiri kuna watoto wenzako humu?

Kijana aliyetumia nusu ya maisha yake shuleni na vyuoni halafu anarudi mtaani unamwambia hakuna ajira, hana pesa wala mwelekeo unataka afanye nini?

Serikali yenu ya "wanyonge" kwanini isiwajibike kwa hilo?

Unawadhihaki??
 
Vitu vingine sio vya kuanzisha uzi humu, kama hauna solution juu ya Tatizo unaloliona.
Una lalamika juu ya vijana wa chuo kwamba hawafanyi kazi ww km ww umeita vijana wangapi mtaani kwako weny izo degree ukawashauri hichi unachokiandika humu?
Una uhakika kwmb vijana wote ambao umewatarget wapo hum JF?
Acha chuki
[HASHTAG] Stop xenophobia
 
Kama Nchi na Serikali kwa ujumla tumeacha suala la ajira kwa vijana na badala yake tumehamisha vipaumbele kutoka ktk maendeleo ya watu hadi maendeleo ya vitu..nikiwa na maana kwamba hakuna ajira mpya,hakuna Increment,mafao kwa wanaostaafu ni kwa mbinde nk nk vipaumbele sasa ni kumiliki vitu vinavyoonekana kama Ndege,SGR,Flyovers,barabara,stigglars gorge, nk nk Pesa ambayo ingepelekwa kwenye kuajiri vijana kama mishahara na ongezeko lake imepekekwa kwenye vitu vinavyoonekana...



























Mungu Ibariki Tanzania[emoji1241][emoji1241][emoji1241]
Mungu Ibariki Chakwale
Mungu Ibariki Gairo
 
hulka ya kijana ni kuwa flexible kubadili mfumo wa maisha kulingana na hali iliyopo katika eneo,washauri wavue majoho ya elimu walizopata na waingie mtaani

Cc Kingsmann
 
Wahitimu 90% hawajui walichosoma ila wanajua kuwa tunasoma ili tupate kazi.
 
Biashara sa hiv ni ngumu pesa mtaani hakuna kabisa watu hawana mitaji huko kujiajiri wanajiajiri vip? Au wewe unadhani kujiajiri ni rahisi?
Shukuru mungu upo kazini unakula mema ya nchi you are no more than hao jobless walioko kitaa they are just unfortunate kushindwa kupata kazi.
Tatizo la wabongo mtu akitoboa kidogo basi unaona wenzio wote mamburula hawajui kitu ipo siku io ajira yako itakoma utakuja kitaa uone shoo yake.
 
Kusoma mpaka chuo halafu kufungua genge la nyanya ni ujinga.bora hata chuo usingefika ungeishia lasaba.
Sio kweli . unaweza soma mpaka chuo kikuu na kufanya biashara ya genge mpaka ukaikuza ikawa super marker
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom