mumewanguu
JF-Expert Member
- Mar 2, 2018
- 261
- 259
Utamkuta mtu mwaka wa saba Sasa anakaa kwa shemeji yake kaz kupiga story tu Nina degree Mimi usinione hivi.
Ina Mana vijana degree zenu huwa ni kifungo kinachokuzuia kufanya shughuli zingine za kuingiza pesa wakati ukisubir hiyo ajira, kumbuka sku hz wasomi wengi tofauti na zaman, zaman ukimaliza form four tu unaajiriwa moja kwa moja siku hz na degree zetu ndio tumejaa kitaa.
Vijana tubadili fikra Kuna maisha bila ya degree