Kwanini vifurushi vya Internet vinaisha haraka

Kwanini vifurushi vya Internet vinaisha haraka

Vinaisha haraka kwa sababu tunachouziwa sio kifurushi halisi wanatuibia na hakuna wa kuwakagua..
 
Kwa ajili hakuna Sheria katika nchi hii.
We are living in the wild,wild west.
Akikamatwa mhalifu,he just gets a slap on the wrist.
Lakini mi nafikiria ningekutana na mtu yeyote ana shida,ningemsaidia,na ningeondoka kabisa katika internet.
 
Naomba mnisaidie, kwa miezi kadhaa kabisa nikinunua kifurushi cha mwezi cha internet kinaisha hata wiki hainaisha wakati Natuma jioni tu Tena kwa Kiasi kidogo kwani mchana huwa ni atumia WiFi ya ofisini.

Vipi nyie wenzangu?
Njoo nikuuzie vya halotel vinachelewa sana
 

Attachments

  • IMG_1028.jpeg
    IMG_1028.jpeg
    1.3 MB · Views: 4
  • IMG_1028.jpeg
    IMG_1028.jpeg
    1.3 MB · Views: 3
Back
Top Bottom