Kwanini vibonge wengi wana roho nzuri?

Vibonge na kuuza vitumbua ni dam dam
 
9. Hata Matrafiki wasioonea sana madereva, asilimia kubwa utagundua Ni WALE trafiki VIBONGE
Humjui yule shangazi kibonge wa Mbezi Luis wewe 😂

Ni trafic kibonge anayeongoza kwa kubambikia makosa madereva kisha anadai mkwanja na kuwaacha madereva bila sentí.

So hapo kwa matrafiki sikubaliani nawe kabisa 😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…